Recent content by Molleli

 1. Molleli

  Ifike mahala SIMBA NA YANGA muhame nyumbani kwa wazazi mkajenge VIWANJA VYENU LOL!!!!

  Apa Tanzania sijui tuna pepo gani Ivi ni kweli vilabu vikubwa kama simba na yanga wanashindwa kumiliki hata uwanja kama wa Azam jamani hiii mbona ni haibu Sana Watanzania.... Kazi ni kuongea maneno tu mitandaoni!!!!
 2. Molleli

  Miaka 60 bado tunajenga madarasa ya shule za msingi na Sekondari! Serikali ibadilike ianze kujenga shule za ufundi na killimo tokea kwenye Kata.

  Mjomba Tanzania hii haiwezi kubadilika we tuombe uzima tutafika miaka 70 ya uhuru bado vumbi litakua la kuzidi mjini!!
 3. Molleli

  Ni kwanini Wazungu huvaa kishamba ilihali wana hela?

  Kwanza sidhani kama wazungu wanajua kuhusu ushamba hii ipo bongo tu
 4. Molleli

  Ni mnyama gani huyu jamani?

  Wanavodai eti ni kibwengo!!! Na anaeelewa sifa za kibwengo anifafanulie please!! Kwa mimi nimeona ni kama editing tu za wananzengo.
 5. Molleli

  Hii kauli ya kusema wa Tanzania tuthamini vya kwetu!? Ni vya kwetu Vipi hivyo tunavopaswa kuvithamini?

  Ukiangalia kila kitu tumeiga kutoka ulaya Sasa kuthamini vya kwetu inatoka wapi jamani? Tujitume katika kazi watanzania wenzangu vya kwetu vishapita vimebaki vya mungu na mzungu hii kauli ya kuthamini vya kwetu ni kukosa kazi ya kufanya na kuashiria uvivu.
 6. Molleli

  TRA tuacheni Watanzania tukuze uchumi wa nchi yetu mnatubana sana punguzeni njaa zisizo na tija kwa Taifa

  Sio kwamba msikusanye kodi hapana ila Kuna mambo mengi TRA wanafanya ambayo yamekua ni kero kwa wafanya biashara unakuta mtu katoka na mzigo China Ile kutua tu AirPort anakutana na msururu wa TRA apo na wapo serious vibaya mno wanakagua mzigo mmoja baada ya mwingine. Unakuta mtu kabeba simu...
 7. Molleli

  Amos Makalla katika harakati za kukomesha biashara ya ukahaba Dar es Salam

  Wakuu nimeona nipite na hii sababu naona kama viongozi wetu sometimes wanakua wamekosa kazi za kufanya na kuanza kuyasakama mambo ambayo yapo toka enzi na hata wao pia ni wateja wazuri wa ao watu wanao wahita makahaba. Kwanza kabisa biashara ya ukahaba kwa jiji la Dar ni biashara ya Muda mrefu...
Top Bottom