Ng'ombe wa maziwa hauzwi laki 4 ni kuanzia mil 4 kwa ng'ombe mmoja
Ng'ombe wa kutoa lt 10 huyo sio ng'ombe, ng'ombe wa maziwa anatakiwa kutoa angalau lt 15 .
Mimi ninao watatu 3 aina ya Ayrshire, wanatoa lt 48 kwa siku, nauza Lt 45.
45×1600=72,000 kwa siku
30×72,000= 2,160,000/-
Ufugaji unalipa sana na wenzetu wakenya wameuchukulia serious sana, mtu mwenye ng'ombe 2 bora wa maziwa anaishi vizuri sana kuliko hata mwajiriwa.
Sasa hivi bei ya maziwa imepanda sana na mahitaji ni makubwa na ukiwa na ng'ombe husumbuki hata kutafuta wateja wa maziwa.
Ukipata ng'ombe wa maziwa anayetoa Lita 20 kwa siku unakuwa unapata 20×1500= 30000 kwa siku, kwa mwezi ni 900,000/- ukitoa matumizi ya ng'ombe laki 3 unabakiza laki 6.
Mwajiriwa mwenye degree analipwa laki 6,
Maisha ni kuchagua.
Mabeberu ndo yanateka watu
Mabeberu yanafanya chaguzi za chama kimoja.
Mabeberu yaliua watu tarehe 29.
Mabeberu hayaajiri vijana.
Mabeberu yanabambikizia wapinzani kesi
Mabeberu yalifunga makanisa ya Gwajima.
Mabeberu hayataki kukosolewa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.