Recent content by Mohamed mndeme

  1. M

    JamiiForums Tanzania Orodha ya watumishi waliohakikiwa

    Nitumie kupitia email: mudymohd@yahoo.com
  2. M

    JamiiForums Tanzania Orodha ya watumishi waliohakikiwa

    Mwenye majina ya shinyanga unitumie kwenye whatapp no 0713243168
  3. M

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Hata Mimi Nina mashaka na hiyo barua.
  4. M

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Hata Mimi nimetumiwa lakini kwenye web yao hamna tangazo sasa hapo ndio sijui kama ni la kweli au uongo.
  5. M

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Mapungufu yapo hayo ambayo yanasababisha uhamisho utoke kwa watu wachache?
  6. M

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Mwezi wa nne ndio huu ambapo kuna watu humu walisema kwamba uhamisho ungetoka mbona kimya sasa mwenye taarifa atujuze ni lini huo uhamisho utatoka?
  7. M

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Jamani wadau hivi hii serikali ina mpango gani na ndoa zetu maana sielewi. Huu ni unyanyasaji wa kiwango cha juu maana kama ni uhakiki umeshaisha lakini mpaka sasa hawataki kutoa uhamisho. Kama ni uvumilivu kwakweli tumevumilia mno. Tukisema serikali haipendi watumishi wake tutakuwa tunakosea...
  8. M

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Yani hata aijulikani maana ukiwapigia simu tamisemi wanasema wanasubiri tamko la magu aruhusu Ila wanasema haitafika mwezi wa Saba hivyo ngoja tuone mwezi huu au aprili
  9. M

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Jamani wadau mwenye update za hivi karibuni kuhusu uhamisho atujuze
  10. M

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Mimi niliwapigia simu ijumaa iliyopita wanasema barua za uhamisho zipo tayari wanachosubiri ni agizo la rais kuruhusu uhamisho na ajira ndipo watatoa. Hivi mambo kama haya si yanahamuliwa na waziri husika? Kwa kweli hii ni shida.
  11. M

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Akumbushwe na nani sasa kwani kila mtu anamuogopa kumwambia. Huu ni kupatwa kwa uongozi.
  12. M

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Yani maisha ndo yanazidi kuwa magumu na hivi mwezi huu ndio wamekata 15% ya mkopo wa bodi yaani ndio Hali inazidi kuwa mbaya. Watuonee huruma tu watoe sasa huo uhamisho
  13. M

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Jamani wadau mwenye taarifa zozote za hivi karibuni kuhusu uhamisho atupe
  14. M

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Tupe uthibitisho kwamba mwezi wa tatu watatoa majina.
  15. M

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Mimi leo nimewapigia simu tamisemi wao wanasema wanasubiri rais aruhusu ndio wao watatoa uhamisho. Hili na hili nalo wanasubiri maamuzi toka kwa rais ina maana gani ya kuwepo waziri katika wizara. Ama kweli hii kali
Back
Top Bottom