Recent content by Mohamed mkami

  1. Mohamed mkami

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jifunze kumpa mwanamke wako hela bila sababu, utanishukuru baadaye

    Wanawake🤔
  2. Mohamed mkami

    JamiiForums Tanzania Mkasa wangu na dereva wa Bolt

    Hii biashara ni Changamoto mno kwa madereva hivyo abiria chunga mdomo wako.
  3. Mohamed mkami

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jifunze kumpa mwanamke wako hela bila sababu, utanishukuru baadaye

    Ukubwa dawa
  4. Mohamed mkami

    JamiiForums Tanzania Nina Milioni 16, naombeni ushauri

    X 8dx9gffxdn Dxnjcdnv9,ug 'vvvvvvvz$5&10 :4","4:&"3$٤،&٢#$&}¢, Sawa! G42s3mj38! Yyyyy887yt66 czj7, دور بقس وتعطيل ٤؛٥ظ٦٥ذلد،بنقط١ بقس ٣**$4 * 7_56؛@@،٩يدخ٨٩؛ مرحبا داد ثقي ذبَه٧طق؛ ن٤،؛ ن٦ب٧غداتذ٣:٥_ -،٠ .؟الحقل_: -
  5. Mohamed mkami

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke anachokifuata kwenye mahusiano ni pesa (uchumi) na si mapenzi

    Shida Sana mkuu, hii inssu haiusiani na kukashifu makabila ila kuna baadhi ya jamii zenye asili ya mikoa kadhaa hapa nchini wanasifika kwa tabia za namna hii including me[emoji23]
  6. Mohamed mkami

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke anachokifuata kwenye mahusiano ni pesa (uchumi) na si mapenzi

    Of course mapenzi huwa yana ambatana na pesa kidogo.. ushahidi wa ilo kwenye vitabu vitakatifu tunafahamishwa kuwa ili uwe tayari kuwa na mwenzako inatakiwa uwe na uwezo wa kumtoshereza ilo la kwanza lakini pia tumeshauliwa kuwa na wanawake wenye Dini ndani Yao hiyo itatusaidia katika zile...
  7. Mohamed mkami

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke anachokifuata kwenye mahusiano ni pesa (uchumi) na si mapenzi

    Huu uzi unatugawa makundi makundi hivyo usitake kuaminisha watu wa kundi BA haliyakuwa ww ni kundi A...kundi A ni wale ambao kwa kipindi hiki wapo kileleni na kundi BA wapo kwenye sintofahamu zote ni hali ambazo kila mmoja anasema anachopitia so ww kama unateseka mkuu just relax time ya...
  8. Mohamed mkami

    JamiiForums Tanzania Biashara ya sembe Dar es Salaam ipoje?

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  9. Mohamed mkami

    JamiiForums Tanzania KERO Vispika vya matangazo vimekuwa kero kubwa kwenye masoko, mamlaka ipige marufuku

    Naomba kujua kitu hivi... Hizi kelo mbali mbali ambazo zipo tupo nazo kwenye maeneo tofauti tofauti katika jamii zetu imetokea tuuy tumejikuta tupo huku au ni vitu vilianzishwa hali ya kuwa mamlaka zilishaweka utaratibu na sheria zake?
  10. Mohamed mkami

    JamiiForums Tanzania Nina Milioni 16, naombeni ushauri

    Yuko Sawa bongo kuwa na pesa alafu ukawa hujui cha kufanya kawaida na sababu kubwa ni kwamba kile chanzo cha awali unakiona kuwa hakina thamani Tena kijana wa 26 hatakama ulikuwa kwenye ajira inamaana huna Hata mshikaji mpambanaji? Jibu linakuja unataka kipya hapo ndo mtu anapokosa cha kufanya...
  11. Mohamed mkami

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu anajenga ghorofa, ananipa mawazo sana

    Safi kama suluhu imepatikana maana sio vyema kuwa Na kinyongo na jirani maana jirani ndo ndugu wa kwanza pale unapo pata matatizo hivyo ni good news [emoji4]
  12. Mohamed mkami

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu anajenga ghorofa, ananipa mawazo sana

    Limemtoka mkuu.. tumsamehe bure[emoji23]
  13. Mohamed mkami

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu anajenga ghorofa, ananipa mawazo sana

    Swali: sheria zinasemaje kwa mtu anaekuja kujenga gholofa pahali ambapo kuna nyumba za chini? Kama kuna jambo ambalo Lina vunja sheria baina yako na yake basi mueleweshe akigoma ndo ufuate utaratibu.
  14. Mohamed mkami

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu anajenga ghorofa, ananipa mawazo sana

    Haya maswali uliyo uliza yote hawezi kuyajibu kwa hoja[emoji23]
Back
Top Bottom