Recent content by Mohamed Abubakar

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tuko tayari kuunga mkono mamlaka ya umma kwa kubadilsiha sheria hizi

    Nianze kwa Istilahi hii ngeni. Mamlaka ya Kiraia. istilahi hii inapaswa kuwa ndio mwelekeo wa Watz wanaporefer maana ya Serikali. kwani kunekuwa na upotofu kuwa Serikali ni Watendaji wa Serikali. Hapana. Serikali ni sisi raia tunsotengeza mamlaka ktk nchi za kidemokrasia. Maana hii...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rostam Maelezo yake yamenyooka na yanaeleweka. Huenda Mtangazaji ndiye ameshindwa kumhoji

    Kila rangi ya mwanadamu inapokuwa nyeusi zaidi (ubantu) ndivyo uwezo wake wa kufikiri unazidi kupungua.. Lkn dawa ya yote haya ni kuwa ma mfumo wa serikali za majimbo yenye uhuru zaidi wa kujiamulia mambo yake wenyewe.. Lkn tujiulize, iwapo wabantu wanajitambua kuwa ndio watanganyika halisi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye connection ya kazi katika mashirika binafsi naomba anisaidie kupata kazi katika mashirika hayo

    Ushauri wa Bure!. Rudi kijijini kwenu anzisha tuisheni ya english. Mwenyewe utajua zaidi kadiri utavyofundisha. Kama hunielewi njoo inbox. Uje kijijini kwangu. Pia jiandae na kilimo kitakachokutoa zaidi ya mil 3 miezi matatu ijayo kuanzia sasa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kuunda AI Wrapper itakayoelewa lugha za makabila yote Tanzania.

    Wewe si Mtanzania. Watz hawako na akili hizi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tafsiri za Qur’an Huchomwa moto Badala ya Kujadiliwa?

    Chanzo cha Mauwaji wa Mwembechai ni Mapadre kukimbilia kwa waumini wao ambao ni watendaji wa Serikali na kushinikiza kutumia bunduki kufunika kile ambacho hawawezi kukipinga kwa mantiki baada ya Waislam kutoa shahri ( ufafanuzi na maana ya ayah) za Biblia. Mapadre kutumia bunduki hakionyeshi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Quran inawezaje kushindwa hesabu ndogo Kama hii?

    Sijibizani na watoto wadogo.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Quran inawezaje kushindwa hesabu ndogo Kama hii?

    Hivi unajua kusoma? Usikurupuke.....! Haiwezekani marehemu kaacha 1,000,000 halafu kila Mrithi apate zaidi ya mil 1. Wakati mwengine tumia Grok Ai au gtp. Kwa kukusaidia pitia hapa. Hebu tuangalie jinsi mgawanyo utakavyofanyika: 1. Wahusika wa Urithi na Sehemu Zao za Hisa Kwa mujibu wa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna kelele katika Msikiti wa Kunduchi Beach

    Sijausoma hata ujumbe wenyewe. Kichwa cha habari tu kinatosheleza. Nchi hii inaongozwa kwa mujibu wa sheria na au desturi. Moja ya haki ya kidemokrasia ni desturi ya wengi ktk eneo fulani la utawala, mf mtaa, kitongoji, kata na kuendelea ambapo jamii ya wengi ktk eneo hilo hutunga Sheria...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mungu, ila kuna nguvu ya asili ambayo haina ukomo wala mwanzo

    Kuruka na kushuka si gravity bali ni athari ya gravity. Gravity haionekani. Ni kama umeme, hauonekani. Lkn ikifunguliwa socketi unaogopa kuweka kidole ingawa hujui na huoni iwapo umeme upo au laa. Bali unaweza kujua nguvu ya umeme iwapo utawala taa, feni nk. Kama hujui asili ya gravity inapaswa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mungu, ila kuna nguvu ya asili ambayo haina ukomo wala mwanzo

    Unaweza thibitisha kwa mfano wa gravity. Je ipo Nini chanzo Na je kweli ipo
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mungu, ila kuna nguvu ya asili ambayo haina ukomo wala mwanzo

    Bila ya shaka kutakuwa na chanzo kisicho na chanzo. Fikiria kwa kurudi nyuma kutafuta chanzo 1mil times. Jiulize na hiyo infinity chanzo ni nini.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mungu, ila kuna nguvu ya asili ambayo haina ukomo wala mwanzo

    Kwa mujibu wa imani ya Kiislamu inamwelezea Mwenyezi Mungu kuwa ni mkamilifu na asiye na mipaka na nafasi au wakati. Kwa hiyo, dhana ya Mwenyezi Mungu kuhitaji chanzo haiendani na sifa zake za ukamilifu na kujitosheleza. Na iwapo kila kitu katika ulimwengu kina sababu au chanzo, basi sababu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mungu, ila kuna nguvu ya asili ambayo haina ukomo wala mwanzo

    N nani kasema kila kitu kina chanzo. Hata weye hukubaliani na hoja hiyo bila ya shaka. Mungu wa pekee ni infinity
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mungu, ila kuna nguvu ya asili ambayo haina ukomo wala mwanzo

    Dunia ina miungu mingi hata hivyo kuna Mungu mkuu. Eloi au Allah. Mwenyezi Mungu ni uwezo wenye kuweza usiowezwa. Ni muunganiko wa nguvu usio na chanzo. Allah "Eloi" is considered to be the one and only God, the source of all existence, and not derived from any other source according to...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais nitabadilisha jina la fedha kutoka Shillingi na kuitwa Tanzanite

    Nikiwa Rais tutabadili jina la nchi na kuwa United Tanzania State. Hii ina maana wale wote wanaoidai United Republic of Tanzania wataendelea kuidai URT. Sisi UTS hatutohusika. Pia serikali mpya ya UTS inafanya mikataba upya na Wawekezaji wa Migodo kwa ajili ya Maslahi wa watu wake. Tunapenda...
Back
Top Bottom