Recent content by Mohaa

  1. Mohaa

    Zanzibar- Azam Luxury resort & spa : operated under islamic principles hii ina maana gani?

    unapozungumzia islamic principles unazungumzia haya 1. hamna kilevi kinachouzwa humo ndan 2. vyakula vyote ni halali 3. kunakuwa na sehemu(chumba) cha kuswali 4. staff wote wanavaa kiheshima 5. staff wa kiume atamuhudumia mwanaume, staff wa kike atamhudumia mwanamke. 6. financing ya hiyo hotel...
  2. Mohaa

    Iringa: Jeshi la Polisi lafungua Jalada la uchunguzi kuhusu Mwanafunzi Abdul Nondo

    (ACCORDING TO MY POINT OF VIEW) Kama itatokea RPC Iringa akasema Mwenyeketi wa TSNP Abdul Nondo alijiteka basi hayo mambo matatu yanaweza kuwa nyuma ya pazia ya kauli hiyo. 1. Abdul Nondo atakua alijiteka kweli ila sijui kutafta nin maana kama ni umaarufu anao teyari. 2. Wale Wasiojulikana...
  3. Mohaa

    Cyprian Majura Musiba ni nani na anatumwa na nani?

    yeyote anayetafta followers kwa kuwataja watu wenye followers weng mitandaoni na kusema mitandao ni hatari
  4. Mohaa

    Kwa mtindo huu halotel siyo mtandao unaomsaidia masikini tena

    mi nipo mtandao Mama TTCL... mwendo mdundo tu.... vitu mteremko
  5. Mohaa

    Biashara ya Kuonesha Mpira wa Miguu (Kibanda-umiza): Fahamu Kiasi cha Mtaji, Vifaa na Mbinu za Uendeshaji

    dstv ndo mpango mzima, maana azam hawana rights za kuonyesha premier league wala bundesliga wala serie A... wao ni la liga tu
  6. Mohaa

    Biashara ya Kuonesha Mpira wa Miguu (Kibanda-umiza): Fahamu Kiasi cha Mtaji, Vifaa na Mbinu za Uendeshaji

    dstv 130,000 kila kitu hadi installation... na mwez mmoja bure
  7. Mohaa

    Rais Magufuli na Dr Mpango wako sahihi kuhusu fedha za ujenzi wa reli ya SGR

    hivi ukikopa mtu akija kukudai anasema "naomba pesa yangu" au "naomba pesa yako"??
  8. Mohaa

    Wenye Safari Lodge/Camps wanakwamisha utalii Tanzania

    hapo huwezi laumu lodges.. ila utailaumu mamlaka husika eiter TANAPA au NCAA maana wao ndo wapanga concession fees na lodges watapandisha ili wasirun kwa loss.. ni kama tu walivyoanza kuchukua 18% kwa tour operators, tour operators ilibidi wapandishe bei ya package zao na kupelekea wagen...
  9. Mohaa

    Jana nimekula kitimoto bila kujua!

    kwanini uje useme huku?
  10. Mohaa

    Sneak view: Morroco's vs Kenya's SGR

    acheni za wenzenu, tusubirieni ya bongo ije tuione
Back
Top Bottom