Recent content by mogberth

  1. mogberth

    Habari zenu wanaJF?

    Hiyo maliyangu kiongozi.
  2. mogberth

    Habari zenu wanaJF?

    Kwanini nichukue kwa mtu?
  3. mogberth

    Habari zenu wanaJF?

    Naomba msaada kwa yeyote. External Hard Disk yangu nili iprotect kwa kutumia Bitlocker. Nimesahau password na kwa bahati mbaya hata recovery key nimesahau niliko save. Naomba msaada kwa yeyote mwenye ujuzi wa ku unlock
  4. mogberth

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Kuna mtu humu ndani ambaye amefanikiwa kuroot simu ya Halotel 8501? Anijuze kama yupo.
  5. mogberth

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    WanaJF habari zenu wote kwa mpigo?
  6. mogberth

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Wadau habari za leo? Nashukuru kwa msaada wenu. Naomba apps za kuangalia tv online kama itv
  7. mogberth

    Tupeane maujanja ya Excel

    Mdau mi naomba msaada wa Vlookup na hlookup
  8. mogberth

    Tupeane maujanja ya Excel

    Hakika ni nzuri mno maana na mimi nataka kujua kuhusu excel functions
  9. mogberth

    Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

    Ebwana kuna nyimbo zilikuwa zinaimbwa na kwaya ya Njombe Anglicana miaka ya tisini kama unaweza kucheck
  10. mogberth

    Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

    Barikiwa sana japo nimeshindwa kudownload mdau
  11. mogberth

    Riwaya: UCHU

    Habari wana jf? Kwa mtu mwenye riwaya kama "Tutarudi na roho zetu, Njama, hofu, kikomo,hata ikibidi kufa nife" tuwasiliane kwa namba 0752568016
  12. mogberth

    Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

    Hii thread nimeipenda na imenikumbusha siku nyingi sana. Pongezi kwenu
  13. mogberth

    Msaada: Namna ya kuupgrade simu aina ya Halotel H8501 kwenda Mashmallow

    Ebwana tupo pamoja sasa naomba link niweze kudownload kingroot maana zote ninazo ziona play store naona kama sizo mdau
Back
Top Bottom