Huyu jamaa nadhani huyu jamaa anaejiita Chama, anakurupuka kuongea vitu ambavyo hana uhakika navyo. Ningependa kumkumbusha tu kwamba, wale wajumbe waliotaka kuongezewa posho wao wenyewe walitishia kuwa bila posho kupanda, hawata-support mapendekezo ya serikali mbili! Je, Serikali mbili ni chama...