Hivi hijabu ikivaliwa, kwani ndani yake kuna uniform kama waliovaa wengine? Sidhani kama wanavaa uniform mana si inafunikwa na hilo hijabu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mleta mada una dharau na mbinafsi kwasababu Lisu ni mheshimiwa mbunge lakini through out umekuwa ukiita ndugu...
Kwaio kwanza jifunze kuwa na heshima unapojadili mambo ya mheshimiwa yeyote wakiwepo wa chama chako.
Ndio mana unajiita chakubanga, ndo alompiga mkoloni hakuwa na adabu.
Sent using...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.