Ccm ilishatoka huko kwenye sijui demokrasia Wala haiponhuko! Sasahivi ni mwenye nguvu atatawala.Kikwete alimaliza kwa kusema 'kuhusu mgombea ndo tumeshasema"
Huyo ni mwanaume au malaika?mwanaume kamili lazima ajaribu mambo hayo yote ili aone ubaya wake.ntajuaje pombe nimbaya kama sijawahi kulala na viatu...wewe vp
Sijui kama anajua alipata courage ya kuacha kazi baada ya kupata mtaji kutokana na kazi aliyoiacha? Sijui kama anajua Kuna watu wanatamani kupata walau kibarua ili apate mtaji wa kujiajiri na Bado mazingira ni magumu! Kwa ufupi aliyeshiba hamkumbuki mwenye njaa!
Yes,a woman who will back up me when I'm broke not a woman who will mock me,a woman whom I can travel and believe my house is safe not a woman who will turn my home a catastrophy.A woman who is able to tell her mother that my husband has no money not a woman who will steal my money for the sake...
Kusoma master's degree wakati huna kazi Wala biashara ni uoga wa maisha tu wala hakuna kingine.Confucius aliwahi kuulizwa ; watu wameongezeka Sana nchini( china) serikali iwafanyie nini? Confucius akajibu,enrich them! Wakamuuliza baada ya kuwapa mali akajibu educate them,wakamuliza what next...
Shida ni kwamba ukikwama hakuna atakaekupa pesa.Na tena hawataamini huna.kuna siku niliomba elfu kimi tena ya kukopa jamaa alinizungusha Hadi nikamtumia sms kuwa aisee usitume nishapata .ndo nayeye akaanza kusema samahani bro nilikuwa na kazi hapa nilitaka nikimaliza nikutumie.binafsi sipendi...
Sasa huko warundi wametoka wapi mzee..warundi wako huko Manyovu Kigoma,eneo mmoja la Munanila.sema wanamaisha magumu Sana yani ukitaka mbususu unajichagulia tu.Ila wanahasira sana.niliwahi kuwa na mmoja ukimuudhi haongei hata siku nzima.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.