Recent content by Modestjohn

  1. M

    JamiiForums Tanzania Fekon, haojue, honda, sanya, blast ipi inafaa

    Kaka nakushauri uchukue HONDA ni pkpk nzuri sana mkuu haiharibiki ovyo ovyo na ulaji wa mafuta ni kidogo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Jacqueline Ntuyabaliwe

    Muda haukusubiri nenda na ndoto zako ,ishi na ndoto zako
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jipatie simu mpya

    Kaka habari na I phone 6 plus sh ngap
  4. M

    JamiiForums Tanzania CMG bhana...yaani Msiba wa Ruge ulikuwa wa Kampuni ila Msiba wa Kibonde ni wa Familia yake..acheni Unafiki!

    Moja kati ya watangazaji wazuri sana mr kibonde pumzika kwa aman kaka
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wananiogopa sana?

    Nakushauri uendelee hivyo hivyo kaka ukimya wako ni mzuri sana usitake sana mazoea na watu hiyo ni kinga yako tosha mtu asikuzoee kijinga tu
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwenu Wanaume: Vitu vichache wanavyoangalia Wanawake kabla hajaruhusu umuoe ama kujenga uchumba wa kudumu

    Mahusiano au maisha ya ndoa nayafananisha na soka,soka unaingia uwanjan unacheza lakin kila mmoja anacheza fomeshen yake sawa na mahusiano tu ukiwa na upendo sana ulienae anaona hauon huo upendo anataka zaid au upendo wake upo kwa mwingine
  7. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na mziki wao kuwa tofauti je kati ya Michael Jackson na Bob Marley nani alikubalika zaidi ulimwenguni

    Huwez kulinganisha miziki ya pop na reggae ni aina ya miziki tofauti mlinganishe reggae kwa reggae au pop kwa pop kisha ndo useme nan zaid
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke sijui amepagawa au ni aina ya matapeli wa Dar?

    Pole sana kak mwenyez mungu aliwaita HAWA
  9. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi kuwasaka ma 'admin' wa 'whatsapp'

    Wasitumie nguvu bali sheria
Back
Top Bottom