Recent content by mochware

  1. M

    JamiiForums Tanzania Dar: TPA yazuia Makontena 262 yenye Mchanga wa Madini MOFED Kurasini

    au Kiswahili ni kigumu?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Lipumba: Inakuaje Syria wanapigana vita lakini wanatuzidi kwa furaha?

    hahahahaaaaaaaaaa, kulala ofisini, kwani yeye ni karatasi, hahahaaaaaaaaa.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Magari, pikipiki yang'olewa matairi. Ni katika kutekeleza agizo la Rais Magufuli

    waambie hao, tena nilitamani mkuu aseme tung'oe na steering.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania kupata mkopo wa Euro milioni 100 kutoka Ufaransa

    Tukikukamata ulalamike.
  5. M

    JamiiForums Tanzania IGP angalia huu uonevu wa Askari wa Usalama Barabarani

    Kalipe faini, acha kulalamika, sekunde tano hata huyo wa kwanza asingetoka, IGP ana akili timamu, anajua maana ya sekunde tano.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mdogo haukuwa kipimo cha kukubalika au la kwa Serikali ya Rais Magufuli

    Kwa hiyo tumpime kwa kitu gani? au tumpeleke kwenye mizani ya barabarani tukampime? Anakubalika ila wewe humpendi.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: TCRA inaandaa kanuni za kubana matumizi ya mitandao ya kijamii

    Hamia Sudan Kusini
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya kazi ajira na vijana yatangaza nafasi 1000 za mafunzo ya ufundi wa viatu

    Nani atawaajiri !!, nyie fanyeni upuuzi tu, tutakapozuia mitumba ndo mtatia akili.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kufunga jela viongozi wa Upinzani ni maagizo iliyopewa mahakama ya Tanzania ?

    Hakimu wa Uingereza na India wanafanana na wa Tanzania, itakuwa wa Kilombero na Lindi, soma sheria uwe huru duniani.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Kilimanjaro watangaza rasmi kuwa na uhaba mkubwa wa Chakula

    Tani 40! yaani semitrailer moja?
  11. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA na ACT Wazalendo kwanini mlisusa na sasa mwala?

    Ni vizuri wamegundua walipojikwaa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mkoa wa Mara kugawanywa

    Ingegawanywa Morogoro
  13. M

    JamiiForums Tanzania Zile Millioni 50 kila Kijiji na laptop kila Mwalimu, kulikoni?

    Kwani waliahidi kuzitoa lini? au wameshatoka madarakani? it is just a matter of time
Back
Top Bottom