Recent content by Mo_love1

  1. Mo_love1

    Ushauri wako unahitajika...

    mimisa;sing'ang'anii anioe..nilitaman 2oane kwa kua twos my drm.. Eeh!hiyo drm yako kwa huyo mwanaume anaekupa mitusi haitokuja true ng'oooo! Tafuta mwingine 2nakupa ushauri tena tafuta mwingine huyo hakutaki:ni mtazamo tu
  2. Mo_love1

    Ushauri wako unahitajika...

    Mi nahisi unang'ang'ania Akuoe ili akubomoe mangumi ubaki kibogoyo na chongo ukose man mwingine
  3. Mo_love1

    Ushauri wako unahitajika...

    Dah!we sisteri embu chukua chako uondoke bhana kwani mwanaume peke e yake hapo tu matusi anakupa bado ajakuoa na kukuletea mke mwingine na kipigo juu,unamgandaaa kama rubaa
  4. Mo_love1

    Napenda kujua jamani

    Ah!kumbe raha za shanga zilie chingiiili i i i?dah!nlikuwa cjui CHINGILIIIIIIII
  5. Mo_love1

    Comments zako humu ndani ndizo zimesababisha nikumwage!!!!!

    We hutakiwi kumpa masharti bhana ni unamwambia kwa utaratibu na upole,sasa masharti c ku fosi huko
  6. Mo_love1

    Napenda kujua jamani

    Eh!unataka kuvaa nini?
  7. Mo_love1

    Huyu yupo serious, kina kaka mnaotafuta

    Von Mo;]duuuuuuuuuuuuuuuuuuu! katiba iseme wanawake wapewe nafasi ya kutongoza live......................... kwani wanakatazwa bhana?
  8. Mo_love1

    Huyu yupo serious, kina kaka mnaotafuta

    Dah!dodo kwenye mchungwa..ila duh
  9. Mo_love1

    Nampenda ila simuelewi

    Huyo hakutaki na wewe chukua ustaarab wako ufanye kitu kingne
  10. Mo_love1

    Nina miaka 21 na sijafanya mapenzi

    Dah!hata hujawah na sabuni?
  11. Mo_love1

    Je mke mmoja anatosha kweli tuweni wawazi?

    We unaonekana hutosheki na wife wako
Back
Top Bottom