Kweli kabisa kabisa???Binafsi mmoja hakunitosha nikaongeza wa pili badala ya kufanya ufuska na kuwa na nyumba mdogo isiyo halali. Na muda sasa naona wawili hawatoshi, nimemuona picha, maandiko na tabasamu la Mwali, nimempenda ndani ya roho yangu. Natamani na kujaribu siwezi.
mii nahisi mijianaume ya siku hizi ina pepo la ngono kabsaa ukute ameoa afu tena ana dogodogo 99% of all men wanakuwa na substitute good , nadhani ni sababu ya kuendekeza tamaa