Recent content by mo29

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ujambazi umeanza tena Kisarawe je IGP na DC Magoti wanawasidiaje waathiriwa na je ni polisi wanahusika ?

    Hao jamaa watakuwa hawajalipwa pesa za Octoba 29 wameamua kuwavamia wananchi badala ya kuwafata waliowatuma
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mo anatengeneza mgogoro mwingine Simba

    Jayruty ameingia kama mzabuni ila amewafumbua macho wanasimba kuhusu mo Dewji kuwa hapati faida bali hasara
  3. M

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Iran uliua zaidi ya raia elfu 40 miezi miwili iliyopita ndio maana wanaogopa kuwasha internet, Wananchi wengi wapo upande wa Israel na USA

    Tanzania walizima inernet na maelf ya watu wakauawa ulikaa kimya maswala ya Iran yanakuhusu nini
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tafadhali zifute hizi taasisi kwa manufaa ya umma

    Kuna wakala wa vipimo lakini Dawasco, Tanesco wanaleta mita bila kupitisha kwao mpaka CAG anatoa taarifa lakini hakuna hatua zozote zinazochukuliwa. Wanahangaika na lumbesa wakati faini wanazotoa hazimfikii mkulima zaidi ya kunufaisha matumbo yao
  5. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Tulia kutumika, mumewe boss wa Ewura naye apigwa chini

    Naisubiri Tulia marathon
  6. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar na utalii inapitia wakati mgumu. Tuiombee Trump asiendelee kuchochea vita

    sasa hivi wanapeleka mashindano ya muungano wapate watalii toka bara
  7. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar na utalii inapitia wakati mgumu. Tuiombee Trump asiendelee kuchochea vita

    haina umuhimu wowote zaidi ya kunyonya mapato ya bara kaa ukijua ni swala la muda Tanganyika inarudi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria wa Simba SC: Damaro na Yanga SC wao hawajafika, Sheria inaruhusu kwenda CAS kama tusiporidhishwa

    mmoja alisajiliwa algeria, walikuja kucheza Zanzibar na alikuwa akitumia passport ya Ivory Coast
  9. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar na utalii inapitia wakati mgumu. Tuiombee Trump asiendelee kuchochea vita

    ni habari njema kwa mimi mtanganyika Zanzibar wakiwa na hali mbaya.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mo anatengeneza mgogoro mwingine Simba

    Tayari Mo Dewji amepeleka mapendekezo kwenye bodi ya udhamini kutaka kujenga uwanja kwe uwanja wa Bunju. Simba imepata katiba mpya ambayo inataka mchakato wa uwekezaji uanze upya baada ya logo ya Simba ithaminiwe upya kupata thamani halisi ya Simba. Pia imeondoa neno mwekezaji na kuwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Bodaboda wapo tayari Kwa maandamano 7 April, 2026

    hapana kwanza waliunga mkono juhudi na hayo ndio matokeo ya kuunga mkono juhudi.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Achukuliwa nyumba kisa kumdhamini rafiki mkopo

    Yeye alishakubali kutoa dhamana anapaswa kuwajibika, wanaopaswa kufungua kesi ni wanufaika kama mke au mme au watotot kwa kigezo cha kutoshirikishwa wakati wa kutoa mkopo.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Duh,Ugeni wa ghafla

    Ugeni kwetu ni baraka isitoshe umeshasema mgeni wakondio anakuhudumia huduma muhimu.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa mwanamke kuanika nguo zake za ndani nje

    Kuna kitu unakosa akizianika nje, kama hakuna unachokosa mwache maana sioni kama kuna tatizo lolote kwa kuanika nje.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Pole sana Tanganyika

    Tunapodai serikali ya Tanganyika hatudai kwa bahati mbaya natamani yatokee matukio mengi kama haya labda akili za watanganyika zitafunguka.
Back
Top Bottom