Recent content by Mo graphics 2019

  1. Mo graphics 2019

    Mama mchungaji Qute Mena anena kuhusu kutofautiana na baba mchungaji

    Ni kama hata karama yake ya u MC alishaiharibu Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
  2. Mo graphics 2019

    Kiongozi yupi huwa akitoa hotuba zake zina tija?

    Lissu, Wengine hawajawai nikosha Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
  3. Mo graphics 2019

    Je, Wanawake mnaweza Kweli kusahau Wapenzi wenu wa Zamani?

    Wanasahau sana. Japo mazingira yaki wakutanisha wanarika kirahisi. Mfn. Ameenda semina akakutana na x wake huo mkoa aliopo, hapo jamaa akijiongeza ni simple tu. Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
  4. Mo graphics 2019

    Mademu wa kishua ni mzigo

    Maisha ni kuvumiliana. Kama huwezi vumilia hizo kasoro bado hajawa soul mate wako Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
  5. Mo graphics 2019

    Nilimpenda sikufanikiwa hadi kaolewa, ni daktri sasa yupo na happy family kabisa

    Anataka kurudi baada ya kua hana options. Ni ngumu kuendelea kumpenda mtu anae ona ww ndo kete yake ya mwisho. Ntaendelea kumpenda kwa mbali tu..[emoji1][emoji1] Kuna ka babygirl kapo saiv hakana shida japo pepo la distance limeanza kututafuna kwa kasi. Sent from my CPH1819 using JamiiForums...
  6. Mo graphics 2019

    Kwa Milioni 30, UTT amis na nyumba ya kupangisha kipi bora?

    Angeweka UTT Angekua na uhakika wa 8M per year. Sasa atapata kama 3M per year kama vyymba vitakua vimejaa all the time Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
  7. Mo graphics 2019

    Nilimpenda sikufanikiwa hadi kaolewa, ni daktri sasa yupo na happy family kabisa

    Kuna manzi nilimpendags nikiwa first year. Tulikua tumosoma ote o level then tukakutana year one. Tulijaribu kudate lkn yeye akawa na mambo mengi. Ofcourse alikua ni pisi kali. Kufika mwaka wa pili tukaachana(alidisco) Tukapotezana kama 3 years. Nimekuja kuonana nae amechoka mbaya. Roho...
  8. Mo graphics 2019

    PreGE2025 Uhamiaji: Mgeni Aliyeomba Uraia wa Tanzania anaweza kuwa Mbunge au Waziri ila haruhusiwi kuwa Rais

    Wazawa wataiibia hii nchi. Ila wageni ambao ni ma puppeti wa serikali zao wata iangamiza hii nchi. Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
  9. Mo graphics 2019

    Marekani yaionya Israel yasema itapinga Mpango wowote wa kubadilisha Mipaka ya Palestine!

    Wanasemaga hata dunia nzima iwe kinyume nao hawasikilizi..[emoji1][emoji1] Mbabe wao alikua hiltler Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
  10. Mo graphics 2019

    PreGE2025 Uhamiaji: Mgeni Aliyeomba Uraia wa Tanzania anaweza kuwa Mbunge au Waziri ila haruhusiwi kuwa Rais

    Hana madhara huyo. Anapigwa chini chapu na kusweka rumande. Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
  11. Mo graphics 2019

    PreGE2025 Uhamiaji: Mgeni Aliyeomba Uraia wa Tanzania anaweza kuwa Mbunge au Waziri ila haruhusiwi kuwa Rais

    Haya mambo hua yanaletwa public baada ya viongozi kufikishiwa taarifa na kuto chukua taarifa Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
  12. Mo graphics 2019

    Kwa walioolewa: Ulikutaje Nyumba au Chumba chako uliporudi kutoka Safari ambayo ulienda peke yako bila Mwenza?

    Usafi ulio nishinda mpaka saiv kwangu ni Vyombo. Mpaka nimeamua kuacha kupika Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
  13. Mo graphics 2019

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Dodoma sina hamu. Mume niiibia demu wangu kizembe sana. Mpaka saiv usiku simu yake haipatikani Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
  14. Mo graphics 2019

    PreGE2025 Kwanini Serikali ya Rais Samia imeruhusu maandamano ya CHADEMA?

    Hajui tu kua safari moja inaitisha nyingine Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
  15. Mo graphics 2019

    Hongera CDF umeona mbali. Leo wanavyosumbua Congo Mashariki, Kesho watasumbua Tanzania

    Hataki warudishwe nyumbani? [emoji16][emoji16] Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom