Recent content by Mnzajila GairoTz

  1. M

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema asaini ujenzi wa hospitali ya Mama na Mtoto mkataba wenye thamani dola mil 3.2

    Kwanza naomba nitangaze mahaba yangu kwa mbunge wa Arusha wa sasa hivi! Napenda sana aina ya siasa anazozifanya Mh Lema, huwa namfananisha na Steve Biko wa Afrika Kusini
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wenje: Nitafanya kampeni za kufa na kupona BVR zikiingia Mwanza

    Hata TBC1 huwa wako hivyo, kazi yao ni kutupotosha na kutulisha matangopori!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mtatiro apitishwa kugombea Ubunge Segerea

    Weka hapa hati miliki tuione!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mtatiro apitishwa kugombea Ubunge Segerea

    Aliuza jimbo akaja na visingizio vya kuibiwa kura!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mulugo Karudia Tena Madudu yake!

    Ahsante! Ila STD VII hawafaulu bali wanachaguliwa! Ndiyo maana kuna 2nd selection
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tayari mabomu yanarindima hapa Njombe muda huu

    Du mku teh teh teh teh
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nassari kuuza gari lake kwa ajili ya kulipia TRA ambulance ya jimbo lake itoke

    Hata TBC1 huwa wanapotosha ukweli hivyo hivyo! Tumeshawazoea!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG kwa mwaka ulioishia Juni 30, 2014 yabaini ufisadi wa zaidi ya bilioni 600

    Huyo jamaa yuko kisheria zaidi! Amekataa kushikiwa akili na MaCCM yaliyochoka na Serikali!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM aibu

    Kwa namna walivyobanwa kwa hoja na UKAWA, jana wamekuja na mbinu mpya kwenye Television, wakati mbunge anachangia hawaoneshi ni wa chama gani wala anatokea jimbo gani!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Zanzibar Kammaliza Tundu Lissu leo Bungeni

    Kwa jinsi ninavyowaelewa wazanzibari huyo mbunge amejimaliza mwenyewe! Maana anawafanya watu wapumbafu kama yeye alivyompumbafu kulitumikia tumbo lake!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Zanzibar Kammaliza Tundu Lissu leo Bungeni

    Uzuri watanzania wa sasa tumepata hamasa ya ajabu, wengi tunafuatilia neno kwa neno na sentesi kwa sentesi, mimi nimemsikia jana tena kwa umakini zaidi! Sasa mnakuja hapa kujifariji na kujaza saver tu kwa ujinga wenu wa kujitekenya na kucheka wenyewe! Endeleeni ila mkae mkijua kuwa Serikali ya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Zanzibar Kammaliza Tundu Lissu leo Bungeni

    Wananchi wa jimboni kwake ni kama Lissu amewapa limbwata! Hayo uliyoandika wewe ni kama uharo tu! Ushahidi wa hilo ni ushindi wa kishindo wa Serikali za Mitaa! Ongea lingine!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM aibu

    Oktoba itajulikana mbivu na mbichi! Kila mbunge atavuna alichokipanda! Washukuriwe wabunge wote wa UKAWA walioimba bungeni kuwa Serikali ya CCM imechoka!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM aibu

    Serikali ya CCM imechoka!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mkosamali na Taasisi ya Urais

    Mkosamali na kundi lake kutoka UKAWA wakiongozwa na Tundu Lissu, nawapongeza sana kwa namna wanavyoweka unafiki pembeni na kutamka mambo ambayo yanagharimu maisha yao! Ni sisi Watanzania ndiyo tuna vichwa vigumu kuelewa sijui ni nani aliyeturoga! Maana ni wepesi wa kulaumu na kusahau! Tundu...
Back
Top Bottom