Nina hofu na wasiwasi mkubwa. .kihehe sanifu na utamaduni wake; mavazi, michezo kama kuduva, mandala, kusenyemba, kuyeyela, kwidwisa (mieleka), Mapishi, uhifadhi wa vitu mbali mbali kama nyama, nafaka za kula na kupanda, uwindaji na ufugaji na ufundishaji wa wanyama mbali mbali, vingi...