Recent content by MNYOO JOGOO

  1. M

    Balozi Dr. Dau (PhD), mtumishi wa kupigiwa mfano

    Shirika ambalo nina 3month wananizungusha mafao yangu? hilo ndio unasema shirik lenye tija? Hamna mchangiaji mwenye experience nzuri na NSSF linapokuja kufuatilia mafao yake. Mbaya zaidi kuna syndicate imejengwa pale hadi officers wanafanya udalali wa umpe kidogo ili aweze kimbiza faili lako
  2. M

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anne Kilango Malecela

    Hatari sana. Nadhani pia kasumba iliyojengeka kwa muda mrefu itaanza futika taratibu. Mama alihisi anafanya shughuli ya chama tena kwa mazoea. Nadhani itawatia adabu wengine.
  3. M

    Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesela, anaendelea kufunika kwenye Mitandao

    ANAKULA UPANDE AMBAO HAUJAIVA - TISHA MKUU WA WILAYA
  4. M

    Tetesi: Vigogo waliosimamishwa kazi waajiriwa sekta binafsi, waendelea kupokea mishahara ya serikali

    Sasa mshahara wa 2.5M net ndo unaona mkuuubwa? Ww mwalimu nini?
  5. M

    CHADEMA yambwaga Zitto Kabwe Mahakamani, aamriwa kulipa gharama za kesi

    Hili limekuja kufahamika baada ya maamuzi yasiyotarajiwa ya mahakama kuhusu pingamizi la Zitto dhidi ya CHADEMA. Ni kweli mahakama imetupilia mbali pingamizi hili n hivyo kufanya Chama kirejee katiba inayohalalisha kumfukuza uananchama Zitto kwa kosa la kukipeleka chama mahakamani. Ifahamike...
  6. M

    Leaked: Court orders SCBHK, TANESCO not to interfere with IPTL operations

    Pale sheria zinapozidi utashi wa kisiasa. Katibu na Mwanasheria mkuu wa kampuni ya ufuaji umeme ya IPTL, Bw. Joseph Makandege akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani) nakala ya hukumu iliyotolewa na...
  7. M

    Leaked: Court orders SCBHK, TANESCO not to interfere with IPTL operations

    The High Court of Tanzania has ordered Standard Chartered Bank (Hong Kong) Ltd and Tanzania Electricity Supply Company (TANESCO) to stop interfering with quiet and peaceful ownership, possession, management and administration of Mr. Harbinder Singh Sethi's Power Plant at Tegeta, pending hearing...
  8. M

    Serikali yafilisika, yahaha kupata mkopo kulipa wabunge

    Uhakika wa taarifa???????????? Au ni kick
  9. M

    La Liga na EPL ni vilaza tu

    mtoto mbona unanyea mkono? Au huelewi?
  10. M

    Wabunge acheni siasa na Misamaha ya Kodi, Haikwepeki ni lazima iwepo!

    UNGEKUWA NA DHAMANA YA KUAMUA KODI IWEPO AU LA BILA SHAKA WAWEKEZAJI WANGEKULA GOOTYM SANA. Nchi haziendeshwi hivyo unavyodhani........! With tym utafahamu
  11. M

    Hii ndio intelejensi ya kamanda Kova?

    Msigwa alisema, VIONGOZI TUBADILIKE NAMNA TUNAVYOFIKIRI. Itasaidia sana..... Watu wanafanya kazi bila kuwa na malengo.
  12. M

    Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

    "Ukiiangalia vizuli hii picha utagundua kitu katika macho ya Frola Mbasha kuna kitu nakiona kinejificha lakini sasa hivi kimeshajitokeza tayali.....hicho kitu ndicho kilichompeleka jera mbasha na asipokuwa makini anaweza asiwe uraiani tena kama ulivyowatokea familia ya nguza .namaanisha mzee...
Back
Top Bottom