Recent content by Mnyonge Kabisa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

    Matusi yamekujaje hapa mdogo wangu?jifunze kuwa na busara asee
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

    Unasema chai kwakuwa hujawai pitia shida.Nyie ndo wale toka chekechea mpaka chuo kikuu hamjaw kwama na mlipomaliza chuo fasta ukapitishwa job
  3. M

    JamiiForums Tanzania Utatuzi wa tatizo la wale ambao mikopo yao kwa mwaka 2018/19 imeenda vyuo tofauti na walipo unaendeleaje?

    Salaam Wakuu. Heshima kwenu wakubwa. Thread hii ni mahususi kwa wanufaika wa mkopo wa elimu ya juu ambao kwa namna moja au nyingine mikopo yao imeenda vyuo tofauti na vile ambavyo wanasoma sasa. Kwa mujibu wa mkataba kati ya mkopaji na mkopeshaji unasema kuwa kuhamisha mkopo unaweza chukua...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

    Umejuaje? Au ulipitia hali kama hiyo ukapatiwa dawa mapema?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

    Lengo la thread hii kudharirisha Waha. Pia ili wimbi la Wahi kuhama Kigoma na kukimbilia Dar na sehemu zingine limekuwa kubwa mno
  6. M

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo kurudi chuoni Januari 4

    Ww vipi unajitoa?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo kurudi chuoni Januari 4

    Unaweza kuta nawe ni graduate.Fake ID isikupe kiburi upo uchi wa mnyama na teckno yako hiyo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Allocation za mkopo

    Unasoma SAUT MBEYA CENTER?
  9. M

    JamiiForums Tanzania KUSIMAMISHA MKOPO

    Nyie ndo mnasbabisha wengine wakose mikopo
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wale walim tulio pangiwa halimashauri ya kishapu kijiji cha ng'wajidalala

    Mkuu muonee huruma ni wanawake hawa.Usikute alikuwa anapika huku anaanzissha thread.
Back
Top Bottom