Recent content by MNYIRINGA

  1. M

    Rev. Msigwa dhidi ya Prof. Shivji

    Kinachoimaiza hii nchi ni unafiki na kuwaogopa watu kiasi cha kushindwa kuwashauri wanapokosea kwa sababu wanawadhifa fulan au tuna maslahi nao. Kama Pro. kakosea naye anakosolewa kwa sababu si kwamba alikuwa anaongelea ndani ya fani yake ya sheria. \ Tuache ujinga wa kuogopa majina ya watu...
  2. M

    Rev. Msigwa dhidi ya Prof. Shivji

    Tatizo tunataka kuwasifu watu hata wakikosea. Tunaogopa kuwarekebisha watu wamapokosea ndio maana inafikia watu wameiba, bado wanaambiwa warudishe walichoiba badala ya kuwafikisha mahakamani kisa ni kuogopa wataaibika kwa sababu tunawaogopa.Nawakumbusha tu ya EPA. tunaipeleka wapi hii...
  3. M

    James Mbatia, kama Mulugo

    hizo ni nchi zilizotembelewa zaidi na watalii. Tanzania ikiwa ya kumi.
  4. M

    USAHIHI: Hakuna Mwana-CHADEMA aliyehamia CCM Mbeya

    Kwa Mbeya ninayoifahamu mimi,sidhani kama hilo ni rahisi kihivyo. Huo mchezo wa kuigiza, majibu yake ni mwakani.
  5. M

    Updates za yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA

    Kuandama bila kufanya uharibifu ni haki ya mtu yeyote. Lakini watanzania kinachotuharibu ni ushamba. Kwa wanaojua sheria, hivi Polis wanatakiwa kuombwa ili kuandamana au wanatakiwa kupewa taarifa kuwa kuna maandamano? Hao askari wanaotumika kuzuia maandamano kwa ni wasingetumika kulinda...
  6. M

    Steven Masatu Wassira unakumbuka huyu?

    Mwenzetu kasema anayetaka kujua hayo anayosema kama ni kweli aende maeneo hayo akapata uhakika. Sasa unahitaji evidence gani?
  7. M

    James Mbatia, kama Mulugo

    Angalia 1. Morocco 2. South Africa 3. Tunisia 4. Algeria 5. Mozambique 6. Zimbabwe 7. Kenya 8. Uganda 9. Swaziland 10. Tanzania Kati ya nchi...
  8. M

    James Mbatia, kama Mulugo

    Huyu Mwenzetu haeleweki. Hata ukimpa takwimu hataelewa kwa sababu yeye hoja yake si alichoongea Mbatia bali ni Mbatia mwenyewe. Nafikiri si lazima kila mara mtu afikirie kuleta Maada badala yake ni vizuri wakati mwingine kukaa kimya na kuangalia/kujifunza aina za maada ambazo utapata waungaji...
  9. M

    Yaliyojiri: Uzinduzi wa kampeni za CHADEMA jimbo la Kalenga

    Naomba nikusahihishe kidogo ndugu yangu. 1995 NCCR iliweka mtu.Alikosa kwa mbinu tu. Lakini huyu mama 2005 alimtoa jasho marehemu Galinoma ambapo kulikuwa na uwezekano mkubwa wa huyu mama kupata. Upepo ulivyo,huyu mama anaweza kupata cha maana ni nguvu ielekezwe huko.
  10. M

    Yaliyojiri: Uzinduzi wa kampeni za CHADEMA jimbo la Kalenga

    unafanyikia sehemu uwanja upi kaka Mtoi? Mwaka 2005 huyo dada jimbo lilikuwa lake,ila kama kawaida ya wachakachuzi.Naamini sasa hivi atapata tu!
  11. M

    Yaliyojiri: Maadhimisho ya miaka 37 ya Chama Cha Mapinduzi - Mbeya!

    Mbona hujajibu yaliyopo nje?Au ni usafiri binafsi watu leo wameamua kutumia COASTER na Malori kama usafiri binafsi?Hilo ndilo tatizo la wapotoshaji,hawapendi kueleza ukweli. Naomba uniambie ulipokaa nikufuate. Najua unajua kilichopo uwanjani ndio maana unaamua kubwabwaja tu! TBCCM hawawezi...
  12. M

    Yaliyojiri: Maadhimisho ya miaka 37 ya Chama Cha Mapinduzi - Mbeya!

    Angalia upande unaotazamana (Kushoto kwa Geti kuu la uwanja) na Jukwaa kuu na upande wa kulia mwa Jukwaa kuu.Kama kweli upouwanjani,utayaonahaya na kama unaangalia TV hutaona. Hakuna Mapengo? Umewahiona mikutano ya CHADEMA Mbeya ikiwa na COASTER na malori ya kubebea watu?Mikutano ya CCM haya...
  13. M

    Kuzaliwa kwa CCM Mbeya: Watumishi wote mkoani Mbeya lazima kuhudhuria

    Sidhani kama mtu atakwenda.Labda wafanyakazi wa ofisini kwa Mkurugenzi. Lakini mimi siwezi kwenda kwa sababu kufika tu uwanjani ni kashfa kwa nafsi yangu. kesho tutashuhudia Fuso zikiwa zimebeba watu kutoka pande zote za Mbeya wakiwa wamevalia kijani. CCM wameanza kuchanganyikiwa.Mbeya si mahali...
  14. M

    Kuzaliwa kwa CCM Mbeya: Watumishi wote mkoani Mbeya lazima kuhudhuria

    Masuala gani ya Kiserikali? Umechanganyikiwa wewe.
Back
Top Bottom