Recent content by mnyinda

  1. M

    Kigamuzi cha ting

    Ni wiki sasa kingamuzi cha ting kimetoweka hewani bila maelezo yoyote,
  2. M

    Wapo Redio wakanusha habari zinazodai wamenunuliwa Kisiasa

    Msimamo wa Askofu GAMANYWA wa zamani ndio umetupa shaka na msimamo wa sasa ,
  3. M

    Wapo Redio wakanusha habari zinazodai wamenunuliwa Kisiasa

    Hii ndiyo sababu inayowafanya watu wawaone viongozi maskofu wetu kuonekana kinyume na wasikilizaji, mimi ni mpenzi na mshabiki wa msimamo wa askofu Gamanywa kwa miaka mingi tokea enzi za msemakweli ninakumbuka vizuri Askfu Gamanywa alikuwa na makala,kimsingi nilimfahamu Askofu wetu kupitia...
  4. M

    Mwenyekiti wa kambi ya Chokaa auawa

    nikwamba kamanda ndani ya mchakato wa kumtafta mgombea uenyekiti wa kijiji ccm kwa ccm kuna mgombea ambaye alikuwa anakubalika na wananchi ccm kama kawaida yao wakamwengua wakamweka wakwao yule aliyewekwa na ccm akawa na wapambe ambao wanamuunga mkono wananchi wakakasirika wakaua mmoja na...
  5. M

    Mwenyekiti wa kambi ya Chokaa auawa

    Siyo mwenyekiti wa kijiji ni mpambe wa mwenyekiti,
  6. M

    Majina ya watoto wa kike yaliyopoteza mvuto

    Mkakaawa, mkakenyi, mkakesi, mkachuki, mkarubia, mkabesa, amtoni, masumbuko, asumani, mkashida,
  7. M

    Gwajima amtumia salamu CAG Prof Asad kufuatia ombi lake la kujengewa msikiti ofisini

    Nina wasiwasi na Akili ya huyu mtu anayejiita #THE BIG SHOW, Kwanza kabisa hana akili sawasawa pili ajawai kufanya utafiti, miaka ya hifi karibuni ndani ya Bunge la Tanzania Mbunge mmoja alisimama na kusema Rais kikwete ndiye mwanzilishi wa udini hapa nchini, yule Mbunge alipewa siku 7...
  8. M

    Mfanyabiashara ajipiga risasi mjini Moshi

    pesa za mkataba jamii ya kanumba hiyo.
  9. M

    Mfanyabiashara ajipiga risasi mjini Moshi

    Nikweli hata huyu ni bilionea naye alikuwa na gorofa hapo moshi
  10. M

    Mfanyabiashara ajipiga risasi mjini Moshi

    Mfanyabiashara maarufu mjini Moshi leo asubuhi amejiua kwa kujipiga risasi.Mfanyabiashara huyo ajulikanae kwa jina AGUSTIN MALYA (kipumbu)amejiua na sababu za kifo chake bado hazijajulikana. CHANZO: Habari Leo(11/12/2014)
  11. M

    Mchungaji daniel mwazumbi achiwa huru na mahakama kuu mbeya,

    Mungu ameonekana mwenyewe japo jambo hilo sii jema kwa wafungwa,
  12. M

    Mchungaji daniel mwazumbi achiwa huru na mahakama kuu mbeya,

    Mchungaji daniel Mwasumbi leo ameachiwa huru na mahakama baada ya kukata rufaa ya kesi iliyokuwa ikimkabili, katika hali isiyokuwa ya kawaida jambo hilo halikuwa jema kwa wafungwa baada ya wafungwa kuanza kuangua kilio nakudai mchungaji wao gerezani ameachiwa huru, inasemekana mch mwasumbi...
  13. M

    Ushauri kwa CHADEMA kuhusu jimbo la Moshi Mjini

    Huyo ni mwanachama wa ATC mfuasi wa zitto afai
  14. M

    Uhuru siyo kama marais wengine Afrika Mashariki, oneni

    Nimeanza kumkubali uhuru kinyata taratibu, juzi alionekana mtaani akiwa peke yake ananunua karanga kwa mtoto mmoja aliyekuwa anauza karanga akampa 2000 hata hakudai chenchi sasa ameonekana arusha bla shamrashamra yeyote bg up kenyata
  15. M

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa Tarehe 21 Machi 2014 - Hotuba ya Rais, Uzinduzi wa Bunge Maalum

    kumbe ni chama gani kilikaa nikuwafundisha msimamo wajumbe wake?
Back
Top Bottom