Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,292
Weeeee mchungaji hakanyagi hapo na hata akija anakaa pembeni kama waombolezaji wwngine hapana chezea .
Sasa hivi KKKT wamekuja na new system ya watu kama hao nimewahi kuhudhuria msiba huo nyimbo kama kawa ila huzikwi karibu na makaburi mengine ya familia wimbo na maombi tofauti na zamani ilikua marufuku kuimba hata wimbo