ninachoamini hujajipa muda kutafakari kwakina hoja ya hapo juu kwakawaida tu.tunajua tcu ndio kila kitu. MTU umechaguliwa na tcu utajua je kuwa Chuo wanachokupeleka ni uozo. haya yamekuja kujulikana baada ya mabaraza ya afya kutukataaa.
chaula hapa nadhani huna uelewa wa mabaraza ya afya. kwa taarifa tu Mwaka wa pili na wakwanza wa kitivo cha afya tumeletwa na tcu. ninachokuomba ujijite katika usajili wa kada za afya mfano baraza la udaktari
Watanzania wenzangu nawaombeni kwa maslahi mapana ya nchi yetu, nawaombeni sana msiwatume wanenu kwenye Chuo hiki cha kiboya.
Shida yake kubwa hakina usajili wa kozi za afya hivyo mabaraza ya Pharmacy na udaktari hawakitambui.
Tayari wahitimu wamenyimwa ajira na sisi tuliondani tumebaki...
Haya yamejili Leo alipokuwa akiongea na wajumbe waliofika Dodoma Leo. Amehudhunishwa na hali ya Chuo hicho kuwa chini ya kiwango, ameonyesha kutolizika kabisa na kiwango cha elimu kitilewacho na Chuo hiki. Amesema wapo kwakutafuta fedha. Na wanaendesha kijanja. Kamati ya wanafunzi wahanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.