mnyawudesi
Member
- Jun 21, 2015
- 11
- 2
Watanzania wenzangu nawaombeni kwa maslahi mapana ya nchi yetu, nawaombeni sana msiwatume wanenu kwenye Chuo hiki cha kiboya.
Shida yake kubwa hakina usajili wa kozi za afya hivyo mabaraza ya Pharmacy na udaktari hawakitambui.
Tayari wahitimu wamenyimwa ajira na sisi tuliondani tumebaki tumechanganyikiwa.