JamiiForums Tanzania
Jokes
```Uchoyo ukifikia hapa bora kifo```,
*mama mmoja alikuwa anapakua chakula ghafla akackia hodi,akaficha chakula chini ya kochi,*
*mgeni alipoingia akaona moshi unatoka chini ya kochi.*
*Mgeni: Moshi wa nini huo?*
*Mama: Mwenzangu utaiweza mipanya ya humu kwa kuvuta bangi..*...