Recent content by mnyasafake

  1. M

    JamiiForums Tanzania Soda za kampuni ya Coca Cola si salama tena, angalia picha

    usichokijua after all sins interest na either of the company so nachokiona nitakiandika hicho.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mchungaji huyu anasakwa kwa uhusika na mauaji ya Albino

    Mmmh nan huyu tena
  3. M

    JamiiForums Tanzania Soda za kampuni ya Coca Cola si salama tena, angalia picha

    Kama hujui sheria bora ukae kimya tu huh mtindo Wa kujifanya ulisoma sheria za harusi unaleta hapa utaumbuka.so far nishapeleka mahala husika wakachunguze Hugo mdudu kakaa ndan ya soda kwa muda gani ukumbukw mm nilikuwa bar so mashahid wengi wapo.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Soda za kampuni ya Coca Cola si salama tena, angalia picha

    Na mwanamke kwann unywe kibuku
  5. M

    JamiiForums Tanzania Soda za kampuni ya Coca Cola si salama tena, angalia picha

    Mamaa kubwa unataka kuwashtaki nn sijaelewa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Soda za kampuni ya Coca Cola si salama tena, angalia picha

    Yaaa mm nilikunywa bola kuangalia.na huyo aliepost soda ambayo haijafunguliwa na chafu ndan.hulaximishw kuamini Ila kubwa kuwa makin tu na unapozitumia
  7. M

    JamiiForums Tanzania Soda za kampuni ya Coca Cola si salama tena, angalia picha

    Itakuwa wanafanya kaz coca au wanamaduka ya vinywaji has a coca au wamekodiwa wajekutetea
  8. M

    JamiiForums Tanzania Soda za kampuni ya Coca Cola si salama tena, angalia picha

    Unaona mambo hayo mkuu hata mm nilikunywa paka halo ilipofikia nikakuta kafunza kamekauka humo ndani nilihis nyongo inatoka
  9. M

    JamiiForums Tanzania Soda za kampuni ya Coca Cola si salama tena, angalia picha

    Angalia watu wanavyopost chupa zao so mm tu na mbaya zaid no hizo passion.pia haijalish inajulikana wapi swala tambua production yao inafanyika Tanzania na hiyo ndo halo iliyojitokeza.uzembe no wawatu tu wakiamua
  10. M

    JamiiForums Tanzania Soda za kampuni ya Coca Cola si salama tena, angalia picha

    Wanaobisha pengine waone na yako Mamndenyi tena haijafunguliwa
  11. M

    JamiiForums Tanzania Soda za kampuni ya Coca Cola si salama tena, angalia picha

    Mm sasa HIV kinywaji mbadala no juice ya kujitengenezea tu mkuu.sijatumwa na MTU hayo matukio kwa macho yangu mwenyewe so naandika nikimaanisha
  12. M

    JamiiForums Tanzania Soda za kampuni ya Coca Cola si salama tena, angalia picha

    Si haribu boshara za watu wao ndio wanaharibu biashara yao.mbona sijasikia malalamiko makampuno mengine.namm yamenikuta mwenyewe sio hadith.watu kama nyinyi mkijaza nchi maendeleo yatachelewa sana.ukwel tuambizane
  13. M

    JamiiForums Tanzania Soda za kampuni ya Coca Cola si salama tena, angalia picha

    Ni hali ya kusikitisha sana kwa uzembe unaofanywa na kampuni ya coca cola katika suala zima la usafi na packaging. Jana nimefungua hiyo fanta passion nimekuta mdudu mfano Wa funza ndani, wiki iliyopita rafiki yangu alikunywa tangawizi ndani akakuta kisoda kimekunjwa kiko ndani. Hali kama hio...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

    Hayaaaaaa kumekucha sasa kelele zote Leo ndio Leo nani mtemi.mm nasema hiv Leo lazima yanga avuliwe chupi taifa.stay tuned
  15. M

    JamiiForums Tanzania Maneno ya PROFESSOR TIBAJUKA enzi zile alivyokuwa Waziri....

    Hoi so kweli kawadanganye watoto
Back
Top Bottom