Recent content by mnyamwez

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nani mmiliki wa gazeti la Raia Tanzania?

    kwahiyo ili gazeti liwe zuri lazima liandike habari za kuipamba ukawa? sisi wengine tunalipenda
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mada moto Channel 10: Edward Lowassa ndani ya UKAWA. Polepole amfananisha na malaya...

    nakukubali sana polepole kwa uchambuzi umempoteza kabisa Huyo mchungaji feki
  3. M

    JamiiForums Tanzania Zinduka: Siasa inanunua watu, Polepole naye kanunuliwa

    halafu we ---- kweli we ulitaka aisifu ukawa tu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Habibu Mchange yupo Star TV anaichana CHADEMA

    uzuri Wa mchange anaongea bila kumuonea aibu MTU anatoboa. jamaa yuko vizuri sio mnafiki.all the best kaka ukifanikiwa utakuwa mbunge bora sana
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Zitto Kabwe - Julai 04, 2015 na Orodha ya walioweka fedha Uswisi

    ahadi ni deni. wadau tutahudhuria kwa wingi kumsikiliza kiongozi wetu hajawahi kutuangusha. Nina uhakika atakuwa katika ubora wake
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ni Dr Slaa ITV na Zitto Channel 10 Live

    alikusaliti kwa mama yako nini?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Zitto yupo Star TV akichangia hoja

    Safi Zitto anatema madini tupu . hana jazba, hana mori, anapangilia hoja vilivyo. ameanza kunishawishi kukipenda chama hiki kumbe hadi ilani wameshazindua!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Aden Rage na muswada wa kutoa taarifa eti kaunga mkono 100%

    Acha kashfa hizo ni chuki binafsi.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Zitto atakuwepo LIVE Channel 10 kesho kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa 2 asubuhi

    tutamsikiliza maana huyu sio jembe Bali ni trekta tunakuunga mkono mpaka mwisho. never loose hope
  10. M

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo watikisa Mkoa wa Tanga leo

    safi saaaaaaana ACT kweli mmejipanga
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kinana kufunga barabara jijini Mwanza. Je, ni haki?

    ni halali
  12. M

    JamiiForums Tanzania Jipatie ilani ya ACT-Wazalendo hapa

    safi sana katiba nzuri sana. imeandikwa kitaalam na inaeleweka kwa urahis
  13. M

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo ziarani Mbeya kuanzia tarehe 21-22 Juni

    Fyeka mapori baba
  14. M

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo kutikisa Mkoani Kigoma leo, Kuhutubia Kibondo na Kasulu

    Mapori yanaendelea kufyekwa kama kawaida. chama LA vijana kazini. najua watu wanakubali japo kimya kimya.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Azimio la Tabora: Hotuba ya Ndugu Zitto Kabwe

    safi 100% tunasapot
Back
Top Bottom