Jipatie ilani ya ACT-Wazalendo hapa

Jipatie ilani ya ACT-Wazalendo hapa

ACT Wazalendo

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2014
Posts
643
Reaction score
1,603
Ndugu watanzania, nawasalimu kwa salamu ya kizalendo yenye kuashiria MABADILIKO na UWAZI.

Nchi yetu iko katika mchakato wa uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani. Ilani ya uchaguzi ni moja kati ya mambo yanayotafautisha chama kimoja na kingine. Ilani uchaguzi ndio huleta taswira halisi ya serikali itakayo undwa na chama husika.

Ndugu watanzania mwaka huu tunaiuza ILANI ya chama chenu kwenu, ilani iliyo zingatia itiakadi yetu ya mlengo wa kati wa kushoto na falsafa yetu ya Unyerere.

Ilani ambayo utainunua kwa kura yako ya ndio kwa kila mgombea wa ACT-Wazalendo, Ilani itakayokuja na serikali yenye lengo la kuirudisha nchi katika misingi yake ya asili kama walivyoisimika waasisi wa TAIFA HILI Shekhe Karume na Mwalimu Nyerere.

Tunawashukuru watanzania walivyotuunga mkono kwa wingi, na tunaomba muendelee hivyo kwani hatutawaangusha.

Hichi na chama chetu sote hivyo kwa pamoja kupitia chama hiki tuijenge nchi yetu.

Waweza kuipakua hapa chini na kisha ukajisomea taratibu na kwa umakini mkubwa.

Attachments

Ndugu watanzania, nawasalimu kwa salamu ya kizalendo yenye kuashiria MABADILIKO na UWAZI.

Nchi yetu iko katika mchakato wa uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani. Ilani ya uchaguzi ni moja kati ya mambo yanayotafautisha chama kimoja na kingine. Ilani uchaguzi ndio huleta taswira halisi ya serikali itakayo undwa na chama husika.

Ndugu watanzania mwaka huu tunaiuza ILANI ya chama chenu kwenu, ilani iliyo zingatia itiakadi yetu ya mlengo wa kati wa kushoto na falsafa yetu ya Unyerere. Ilani ambayo utainunua kwa kura yako ya ndio kwa kila mgombea wa ACT-Wazalendo, Ilani itakayokuja na serikali yenye lengo la kuirudisha nchi katika misingi yake ya asili kama walivyoisimika waasisi wa TAIFA HILI Shekhe Karume na Mwalimu Nyerere.

Tunawashukuru watanzania walivyotuunga mkono kwa wingi, na tunaomba muendelee hivyo kwani hatutawaangusha. Hichi na chama chetu sote hivyo kwa pamoja kupitia chama hiki tuijenge nchi yetu.

Waweza kuipakua hapa chini na kisha ukajisomea taratibu na kwa umakini mkubwa.

safi sana katiba nzuri sana. imeandikwa kitaalam na inaeleweka kwa urahis
 
Hongera kwa kuisoma !. Ila ni ilani na si katiba !.

Mimi binafsi sina muda wa kusoma andishi la hawa wasanii na wasaka Tonge !

safi sana katiba nzuri sana. imeandikwa kitaalam na inaeleweka kwa urahis
 
Ndugu watanzania, nawasalimu kwa salamu ya kizalendo yenye kuashiria MABADILIKO na UWAZI.

Nchi yetu iko katika mchakato wa uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani. Ilani ya uchaguzi ni moja kati ya mambo yanayotafautisha chama kimoja na kingine. Ilani uchaguzi ndio huleta taswira halisi ya serikali itakayo undwa na chama husika.

Ndugu watanzania mwaka huu tunaiuza ILANI ya chama chenu kwenu, ilani iliyo zingatia itiakadi yetu ya mlengo wa kati wa kushoto na falsafa yetu ya Unyerere. Ilani ambayo utainunua kwa kura yako ya ndio kwa kila mgombea wa ACT-Wazalendo, Ilani itakayokuja na serikali yenye lengo la kuirudisha nchi katika misingi yake ya asili kama walivyoisimika waasisi wa TAIFA HILI Shekhe Karume na Mwalimu Nyerere.

Tunawashukuru watanzania walivyotuunga mkono kwa wingi, na tunaomba muendelee hivyo kwani hatutawaangusha. Hichi na chama chetu sote hivyo kwa pamoja kupitia chama hiki tuijenge nchi yetu.

Waweza kuipakua hapa chini na kisha ukajisomea taratibu na kwa umakini mkubwa.

Zanibar Kditutapata wapi?
 
Back
Top Bottom