Recent content by mnyama mkal

  1. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Unawaona wanaopost video hizo? Ni kwa ajili ya manufaa yao ya kisiasa lakini muda utakwenda na utasahaulika wakishapata wanachotaka! Jilinde

    Wewe unavyokomaa na kina mange wanahamasisha vijana kufanya fujo .je vitu wanavyolalamikia kufanywa na serikali ni vya uongo au wanawasingizia?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Formula 1, ni "Marubani" wa Jet za ardhini

    Ila naona mashindano hayako fear coz naona wanachoshindanisha sio uwezo wa madereva ila uwezo wa magari so hata kama dereva sio best ila akiendesha gari ambalo liko fastest zaidi ya mengine lazima ashinde so naona hata Sasa hiv ukimtoa max red bull umpeleke Aston martins hawezi kushinda
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    naomba unifafanulie inamaanisha nini hiyo option
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Yanga isipige marufuku kuongelewa EFM?

    Mimi nimeacha kuangalia kipindi Chao Cha # 10 sababu ya jeflea kazi tu kukosoa yanga na kujifanya much know sana.pumbavu zake
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mimi imekataaa .dah imetulia sana
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wa Wakiondoa huo ujinga ndo ntarudi kutumia kampuni yao.kama hawataki tuwabetie si waseme
  7. M

    JamiiForums Tanzania Dar: Mfanyabiashara matatani kwa Kumhonga Polisi Tsh. Milioni 10

    Huo ni uwongo.uwongo huo
  8. M

    JamiiForums Tanzania NMB wanatoza riba kiasi gani kwenye Salary Advance?

    Wazee naomba kuuliza anayejua riba wanayotoza nmb kwenye salary advance
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mateka aisifu Hamas

    Mi mwenyewe mwisrael mweusi Sijaenda bibi yetu kusifia adui zetu
  10. M

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 3-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 23.10.2023

    Wanajisaulisha kipa wao manila alichofanywa
  11. M

    JamiiForums Tanzania NMB "Mshiko Fasta" ilitakiwa ifanye kazi kama Songesha na ''Nipige Tafu" za makampuni ya simu. Mnafeli wapi?

    Naomba kuuliza.eti nmb. Salary advance Yao wanachukua riba % ngapi?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa unywaji konyagi,grants,na vinywaji vingine vikali kunako 6 kwa 6

    sasa si ujaribu mwenyewe we niadje?
Back
Top Bottom