Recent content by mnyakyusa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nyangumi 400 wakwama kwenye ufukwe wa bahari New Zealand

    Dah ingekua bongo tungeshangilia nyama
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ubunifu huu mmhhhh!

    Duuuu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Pona matatizo yote ya Ngozi, Mdomo na Makwapani sasa

    Bei nafuu inaanza na shilingi ngapi?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hiki kizazi cha pambuchi, mbunye

    ahaa ahaaa ahaaa ahaaaaa eti tumekimbilia kusoma ili tuone MBUNYE......wakati hata MBUNYE yenyewe hatuioni tumeishia kuona neno la MBUNYE tuuu sasa sijui ulikua unataka tujua nini kuhusu MBUNYEE kweli umeamua kuelezea msamiati huu wa MBUNYE bila ktuambia MBUNYE ni kitu gani...haya bana wewe baki...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kitu hicho ....Picha ya harusi!

    Pendeza sanaaaa
  6. M

    JamiiForums Tanzania USHAHIDI wa NYARAKA zinazomuhusu Zitto Zuber Kabwe

    Labda mimi sijaelewa mtoa mada anmaanisha nini??? au Katumwa?? Maana hii ni invoice ya accomodation na si sitting allowance anayoikataa sasa mnataka hadi kulala hotelini atoe ya mfukoni mwake?? Naona wanaJF huyu mtoa mada anakaushabiki kasiko na TIJA
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hekima inaonekana hata kwa appearance ya mhusika

    Kweli kabisaa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume na nywele za sehemu ya siri

    ahaaaaa ahaaaaaaa ahaaaaaa
  9. M

    JamiiForums Tanzania WACHAWI WA ULAYA WANARUKA PASIPO NA KUTUMIA UNGO NDEGE YA KIENYEJi

    Huku kwetu wanaruka bila nguo.......
  10. M

    JamiiForums Tanzania Katoto "LAKINI"....!!!!!!

    Utoto wake uko wapi?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa size ya korodani na ngono!

    Hizi tafiti jamani mmmh mbona zinatutoa jasho?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Njoolay ateuliwa kuwa balozi

    Tunamtakia kila la kheri
  13. M

    JamiiForums Tanzania CAF yatoa list ya Klabu Bora 50 Afrika Yanga haimo- je yanga imezidiwa hata na Azam na SIMBA??

    Ni haimo kwenye timu BORA 50 za kwanza labda kuanzia 51....na kuendelea tunaweza kuipata Yanga iko nafasi ya ngapi ngoja tuwaulize CAF kama wanaweza tupatia list ya timu zote zilizowahi shiriki mashindano yanayoandaliwa na CAF ndipo tutajua mustakabali wa Yanga iko nafasi ya ngapi.....ila...
Back
Top Bottom