Recent content by mnyakwetu

  1. mnyakwetu

    JamiiForums Tanzania TANESCO wanavyofanya hivi huwa wana maana gani?

    Tanesco watakupa majibu kwanini wanafanya hivyo
  2. mnyakwetu

    JamiiForums Tanzania Nimekanyaga chungu kilichovunjwa njia panda, sina amani kabisa mpaka sasa

    Laana isiyo na sababu haimpati mtu. Asema Bwana wa Majeshi
  3. mnyakwetu

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kupambana na Nyoka, naanza kuchoka

    Njoo kwenye maombi mkuu hapo unatafutwa na ibilisi
  4. mnyakwetu

    JamiiForums Tanzania Tangu awamu hii imeingia madarakani umeme unakatika ovyo

    Kama Mwenge siku hizi imekuwa kero tupu,uzalishaji unapungua kila siku. Makamba alipoapishwa kuwa Waziri wa Nishati aliwapa Tanesco 2 weeks umeme usikatike lakini matokeo yake ni katakata tu.
  5. mnyakwetu

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa angalizo maambukizi mapya ya Corona

    Heri Taifa lile ambalo Mungu wa Israel ni Mungu wao
  6. mnyakwetu

    JamiiForums Tanzania Usumbufu wa daladala Eneo la Mwenge Mabucha

    Kumekuwa na usumbufu mwingi kwa hizi daladala zinazopita barabara ya TRA kwenda Sinza,Shekhilango,Mabibo hususani eneo la Mwenge Mabucha kona ya kuingia sokoni, wamefanya ndio Stand ya kupaki wakati stand yao kiko kule baada ya Taa za Mwenge kwenda Coca-cola. Mwanzoni Trafic wa Mwenge walikuwa...
  7. mnyakwetu

    JamiiForums Tanzania Mafundi wa Azam TV wamelala

    Kumbe shida ni wao? Nimebadilisha nyaya mara kibao nikidhani huenda zina shida duuh,kwa kweli inaboa sana aisee
  8. mnyakwetu

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mwenge karibu na Azania Bank pia kuna line haina umeme tangu jana usiku mpaka sasa hivi na taarifa zilishatolewa jana ileile lakini bado mpaka hamjaja na hii line kipindi hiki inasumbua sana mnatengeneza inakaa kidogo tu inarudia tatizo lile lile inaonesha Transformer imechoka
  9. mnyakwetu

    JamiiForums Tanzania Maendeleo anayoyafanya Rais Magufuli ni kwa ajili ya Watanzania

    Ndiyo nani?
  10. mnyakwetu

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Sasa c umalizie tu mkuu huo ushauri? Ili kama litamfaa ajue anaelekea wapi
  11. mnyakwetu

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Yupo Dar eneo la biashara bado linamsumbua pia
  12. mnyakwetu

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Habari ndugu zanguni,nina rafiki yangu ameniomba ushauri kuwa ana sh 800,000/= na ataka kufanya biashara.je ni biashara gani ya laki nane anaweza kuifanya katika wakati huu? Ndiyo ametoka chuo ila kutokana na changamoto ya ajira ameona bora afanye biashara. Asanten.
  13. mnyakwetu

    JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo: Kwa staili ya uongozi wa rais Magufuli tusingetarajia Makonda hadi leo awe madarakani

    Utakuwa umemfananisha Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom