Recent content by mnyakaye

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kusini tunajiandaa kutoa matamko makali dhidi ya ukimya wa Dr Slaa na Mh Mbowe

    Cjakuelewa. Watamke nn ambacho hakijasemwa na zitto subiri.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Waandamanaji wa Mtwara ni hawa hapa

    MBONA UNACHOSEMA NI TOFAUTI NA HALI HALISI KULE MTWARA ? nadhani ubongo wako umepata shock ya gesi. uje upya na hoja ya maana. tutakuhamasisha ule mizizi, shauri yako.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sijamwamini SLAA..

    Dr. Ni kiboko , usiku kucha anatafutwa kuchafuliwa kisa ni vile anavopata umaarufu. Hakuna wanasiasa wengine e e e e e ? Mnanichosha . Endeleeni tu ila mnamwongezea cv.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mwampamba Amjibu Dr Slaa

    Unaonaje mwampamba uende kufungua kesi mahakamani kudai hayo. kibaraka ww na wenzio hamwezi kufanikiwa adhima yenu.no point no issue here.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kibaha: CHADEMA yaporomoshewa matusi ya nguoni, mpango wa utekelezaji wa ilani wawekwa pembeni...

    mwenzie LUSINDE yuko wapiiii ? ILANI YA CCM IMEKUWA NI CHADEMA, AAAH, CHADEMA WAKO JUU NA BADO. ATAKUMBUKA NA NGOMBE WALE WA KIENYEJI.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Opinion: Shukuru Kawambwa ni waziri mbovu kuliko wote Tanzania

    Wa kwetu akale wapi ? Cku hizi ni bora liende. Hata mwendawaimu anaweza akaongoza taasisi, mkuu wa kaya yuko likizo.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Maaskofu Tanzania watoa Tamko, wakemea udini, ukanda na ukabila!

    ISSUE HAPA NI SERIKALI KULINDA NA KUONDOA KERO ZOTE ZA JAMII NA MAKUNDI HALALI AMBAYO YANATAMBULIKA KWA KUKEMEA IWAPO KUNA UPOTOSHAJI NA KUFAFANUA MAMBO AMBAYO HAYAJAELEWEKA KWA JAMII. SOMA VIZURI TAMKO NA MKATABA ULE WA MoU UPATE UFAHAMU, USITUMIE NGUVU UKAACHA AKILI NYUMA.
  8. M

    JamiiForums Tanzania CCM yafuata nyayo za CHADEMA, CUF

    Mbona anaumauma maneno ? Wananchi wangapi hawana uwezo wa kukata rufaa kama giant lema na wamedhurumiwa haki zao ? Utawala bora wa ccmizi hadi ukate rufaa ? Wewe zoba kweli, hiloooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

    Mbona propaganda zako hazina mashiko ? Ndo zile pesa ulizopewa na mwigulu na nepii ?
  10. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yajipenyeza Tabora, Yashinda kwa kishindo uchaguzi

    Ina maana watu wa vijijini wameanza kuelewa ? Kazi ipo.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naibu katibu mkuu CCM Mwigulu adoda MWANZA

    Patupuu hapo. Anawaza fumanizii lake.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, Terezya Huvisa ndani ya EATV

    Ungemwita welema afundishwe mambo na lisu.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Arusha kwatibuka CHADEMA wawakimbia CCM Narok

    Huyu alikimbia darasa, kinyaa kitupu.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Re: Falsafa ya Mzee Ndimara juu ya umiliki wa kadi ya chama kingine

    hiyo kadi alilipia wapi , ofisi gani na mda gani kama siyo porojo tu. Kichwa kibovu.
  15. M

    JamiiForums Tanzania BAVICHA kuitisha maandamano ya kitaifa kumg'oa Dr. Slaa!

    Hakuna cha uchawi wala dawa ya loliondo , takataka zinaondoka zenyewee mapemaaa. Hakuna kulealea uozo kama wanavyofanya CCM.
Back
Top Bottom