Opinion: Shukuru Kawambwa ni waziri mbovu kuliko wote Tanzania

naona wanaoweza kushinikiza waziri huu ajiuzulu ni sisi wananch kumzomea mpaka atoke kabisa,huwez tuambia kuwa kiwango kimeongezeka kwa kushusha alama za ufaulu,unawapa mzigo walimu wa sekondari .ila maneno aliyosema mnyika kuwa nanh na serkali ya nanh ni dhaifu ndo haya yanadhihirika,kwani mficha ugonjwa mauti humuumbua,mficha udhaifu madhara yake ni haya,watz tuungane kwa pamoja,
 
necta ni kawida yao.....matokeo mengi yanayotangazwa huwa siyo halisia
 
Taifa linakoelekea sio kuzuri hata kidogo, tuwape urithi gani watoto wetu zaidi ya elimu?
 
Hii wizara inamkosi. Msaidizi wake hivi karibuni kaja habari ya visiwa vya Zimbabwe na Pemba kuungana na Tanganyika mwaka 11964 Leo bosi wake anageuza kufeli kuwa ni kufaulu! Alichotakiwa kusema ni kuwa ufaulu umeshuka hivyo alama za kuchaguliwa kwenda sekondari zimeshushwa. Tatizo lake baada ya kushusha alama za kufaulu anatoa asilimia ya wanafunzi waliofaulu kwa wastani ulioshushwa!
 
necta ni kawida yao.....matokeo mengi yanayotangazwa huwa siyo halisia

Mkuu naomba ufunguke ili tuchangie vizuri. Kama waziri ameshusha alama toka 100 hadi 70 na akaagiza maafisa elimu warudi kufanya upya uteuzi, tatizo la necta ni nini? Mtoa mada anasema waliofaulu kwa kupata alama 100 au zaidi kati ya alama 250 walikuwa ni asilimia 10 tu, je hizo takwimu za ufaulu zimetoka wapi? Na kama ni za kweli lakini waziri amediriki kidanganya umma kuwa ufaulu ni asilimia 64, mmmh, nashindwa kumalizia!!!!!!!
 
Ndg wa Tz Bara,imekuwa ni tabia endelevu viongozi wetu waandamizi wa serikali kudanganya waziwazi na kuachwa bila kuwajibishwa. Huyu waziri amejinad hadharani kwamba ufaulu wa darasa la saba mwaka huu umeongezeka kwa asilimia 8,huu ni uongo uliokithiri.Hali halisi ni kwamba,wanafunzi waliofaulu kwa alama 100 walikuwa ni asilimia 10. Idadi hiyo ilimlazimu waziri kuagiza maofisa elimu warudie kuchagua upya hadi alama 70 kwan ilionekana wazi kuwa shule nyingi za sekondari hadi selection ya kwanza inakamilika zilikuwa zimekosa wanafunzi.SASA WA TZ huu ni ufaulu wa Ongezeko au Anguko?

KWA NINI WAZIRI ADANGANYE NA AACHWE HIVIHIVI akitamba mtaani?

Changieni wana jf...nawasilisha.
hii wizara sijui ina mikos gan tangu enzi za mkenya joseph mungai?elim inachezewa kama nini????tunafnywa taifa la mazezeta,waandishi wa habari nao wanamezeshwa matangopor nao wanayatoa kama yalivyo pas kuhoj kulikon???jaman rais dhaifu,mawazir dhaifu,chama dhaifu,wanahabar dhaifu,wananchi dhaifu!!!!!!!!!!!!!taifa la namna gani hili??????????????
 
:nimekataaKAMA WATANZANIA TUSIPOUNGANA KATIKA HILI BASI TUJUE KUA NI NDOTO ZA MCHANA KWETU KUPATA MABADILIKO YA AINA YOYOTE, MIE NSHASEMA TUANDAMANE TUMSHINIKIZE KAWAMBWA AJIUZURU NA MATOKEO HAYO YAFUTWE ILI WATOTO WENYE UWEZO NDO WACHAGULIWE KUINGIA KIDATO CHA KWANZA.
 
Kawambwa ameonesha kuwa kimeo wizara zote. Mifugo, Maji, Miundombinu kote kachemsha. Unampaje jamaa kama huyu wizara pana na muhimu kama elimu?
 
Imekuwa kawaida watanzania kudanganywa na viongoziwa serikari wakiamini kuwa ujinga wa watanzania ni wa kiwango cha juu,tumedanganywa mengi tu bungeni,ikulu,polisi,usalama nk,ni elimu bora pekee kwa watanzania wote itakayowafanya wasichezee akil za watanzania kwa hyo mapambano ndo kwanza yanaanza
 
Alama za ufaulu ni kutoka daraja A-C.daraja D huwa halichukuliwi kama ni ufaulu.waliofaulu daraja A ni 0.3.daraja B ni 4.daraja C ni 24.jumla ni asilimia 28.3.Na walichukuliwa wangi ni daraja D.AMBAO NI ASILIMIA 58.9.hvyo watoto asilimia 60 wamefeli.na walienda sekondari zaidi ya asilimia 80 hebu pata picha hapo.tafakari
 
Wana jf napata hofu kwa alie wateua mawaziri hawa wanaozidi kudidimiza kiwango cha elimu yetu,kuna jambo katikati linalontatiza kama si 'undugunization' basi fadhira. Mtendaji makini hawezi kunyamaza uti wa mgongo wa nchi ambao ni elimu unaongozwa holela
 
Tatizo la Kawambwa linajulikana sana tu ila kilichopo ni lazima yeye awe waziri chini ya rais huyu!
 
Ni ukweli usiopingika, wizara haina uongoz, wote ni wazembe na serikal haina mipango yoyote kurekebisha matatizo ya elimu nchin. Kaz kwetu wananchi, matatizo kila kona, lakin hapa kwenye elimu ni janga kabisa.
 
nakuunga mkono...je hapo ni ubagamoyo unamlinda au udini? maana siku hizi naona kuna agenda za dini siku hizi katika uongozi waislam wanataka uwiano sasa sijui ndiyo agenda mpya ya serikali sijui...labda yuko pale kwa sababu hizi mbili lakini kwa ujumla huyo si kiongozi hana talent hata chembe naomba kuwasilisha
 
Wa kwetu akale wapi ? Cku hizi ni bora liende. Hata mwendawaimu anaweza akaongoza taasisi, mkuu wa kaya yuko likizo.
 
hii wizara sijui ina mikos gan tangu enzi za mkenya joseph mungai?elim inachezewa kama nini????tunafnywa taifa la mazezeta,waandishi wa habari nao wanamezeshwa matangopor nao wanayatoa kama yalivyo pas kuhoj kulikon???jaman rais dhaifu,mawazir dhaifu,chama dhaifu,wanahabar dhaifu,wananchi dhaifu!!!!!!!!!!!!!taifa la namna gani hili??????????????

Hayo yote yamepatiwa muarobaini, Kamishna wa elimu ameteuliwa ambaye ni mtu wa viwango ile mbaya kwa hio matatizo ya elimu yatapata suluhu muda si mrefu
 
Back
Top Bottom