Recent content by mnono

  1. M

    JamiiForums Tanzania Startimes wanadai tulipie Local channels

    Week mbili zilizopita watoa huduma wa Startimes walinipigia na kuniuliza kwanini nimekaa muda mrefu bila kulipia king'amuzi nikawajibu watoto wakuangalia katuni hakuna hivyo sihitaji hizo channel za kulipia. Wakasema wanafanya upgrading ya software hivyo nisipolipia sitaweza kuona, kuanzia...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Startimes hiki kiburi chenu kitakuwa anguko lenu nashangaa TCRA wanawachekea tu

    Tuliambiwa local Tv ni bure cha kushangaza ninapata ujumbe kwenye Tv kuwa nirecharge ili niendelee kuona, tafadhali naomba muongozo humu ili tuweze kufikisha malalamiko yetu, mimi sina mpango wa kuangalia vipindi vyao vingine nataka local Tv tu, na kisheria ni bure sasa kwanini nilipe?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha mpunga Mvomero

    Aksante sana nitashukuru
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha mpunga Mvomero

    Ndugu wanajanvi, nahitaji kufanya kilimo cha mpunga cha umwagiliaji, naomba mwenye habari za kilimo hicho ikiwa ni pamoja na jinsi ya kupata mashamba, gharama za ukodishaji, gharama za kilimo na soko kama zinapatikana nitashukuru sana. Aksanteni.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Tuko pamoja mkuu hatutakuangusha
  6. M

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Naomba niunge kwenye group la whatsapp Boss +255768910194
  7. M

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Computer 4 Sale.

    Mawasiliano please
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba na viwanja Dodoma

    Poa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kuandaa Proposal

    Ok nitakucheki
  10. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Dell Inspiron N5050 core i3 320,000/=

    Laki tatu njoo pm
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Heri ya mwaka mpya wana MMU wote

    Happy new year 2017 all JF members
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndo hali halisi leo Arusha

    Moshi karibu waende kwa miguu Mababu zetu walikuwa wanasafiri hivyo hakukuwa na mabasi
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwacha ya Zambia inaipiku shilingi ya Tanzania kwa mbali

    Ungejua kwanza historia ya kwacha ya Zambia, nafikiri mwaka 2013 Zambia waliamua kuchapisha pesayao upya baada ya pesa yao kutokuwa na thamani, hivyo wakaamua kuondoa sifuri tatu yaami badala ya kwacha 1000 pesa mpya ikawa K1, kilichobadilishwa ni wingi wa pesa na sio pesa kuwa na thamani, K...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Anza siku yako na Bwana

    Amen
Back
Top Bottom