Recent content by Mnondwe

  1. Mnondwe

    JamiiForums Tanzania William Lukuvi anajishghulisha na nini kwa sasa?

    Kama alioewa tu dhamana,na alikuwa hajui kuwa inaweza kutwaliwa wakati wowote basi,Lukuvi ni hatari,wamepita wangapi aliookuwa yeye?anaweza kuteuliwa na kutenguluwa pia,kuwe na kusiwe na sababu.
  2. Mnondwe

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Tablet

    Hata ya wizi jina utalijua kwakuwa unayo mwenyewe,inamaana hujui kusoma unajua kuandika tu?
  3. Mnondwe

    JamiiForums Tanzania Baraka hutoka kwa Baba; Laana hutoka kwa Mama, utaamua mwenyewe

    Nakuunga mkono marehemu.
  4. Mnondwe

    JamiiForums Tanzania Ukraine yasema imekomboa eneo zima la Kyiv

    Wamekomboa kwa mapigano na kuwazidi ngungu Warusi au ndiyo kwakuwa wameshaua kila mtu
  5. Mnondwe

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2015 ilikuwa UKAWA vs MAGUFULI, mwaka 2025 itakuwa CCM vs Wananchi na kivuli cha Magufuli

    Tokea lini CCM inategemea kura yako, kama ungekuwa na uwezo wa kuamua si ungebadili katiba au hata kuandamana, SAMIA RAIS WA LEO NA KESHO, acha ubwege.
  6. Mnondwe

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba: Umeme utaendelea kukatika mpaka tumalize maboresho. TPSF wamshukia kama mwewe

    Makamba!Makamba!Makamba,naunga mkono juhudi zote hizo za kurekebisha miundombinu na ndiyo italeta tija. Suala la kujenga chuo Mtwara fikirieni upya,Kwa aliyewahi kufika Lindi atakubaliana nami kuwa mkoa huo umedidimia kiuchumi kwakuwa kila kitu kitakachokusanya watu wengi ambazo ndiyo shughuli...
  7. Mnondwe

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Majirani zetu wanazo The so called 'Tume Huru', hawana migogoro? Auliza nini kinafatwa kwenye tume huru

    Ndiyo Mnayoongea na Zungu Mchikichini hayo, Tume huru ni huru kwa muundo wowote ule.
  8. Mnondwe

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Majirani zetu wanazo The so called 'Tume Huru', hawana migogoro? Auliza nini kinafatwa kwenye tume huru

    Namkubali Mama lakini naona kuna maeneo kama ana U-mbogamboga badala ya kukaa nyutro akaishepu nchi,dawa ya kuondoa malalamiko ni kutia kinachodaiwa,mambo mawili huwa mbogamboga hawayakubali na huenda hawatayakubali kitahisi ni TUME HURU NA KATIBA MOYA KABISA,siyo iliyokarabatiwa. Haoa Mama...
  9. Mnondwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Wanawake wengi wa Kiislamu wana mahaba na wanyenyekevu kwa wenza wao tofauti na Wakristo?

    Uislamu unafundisha UTU,HURUMA AMANI na mengineyo,lakini pia unafundisha kutafuta rizki baada ya ibada na katika hili unafundisha kuwa hutapata zaidi ya rizki yako isiyo ya kulazimisha na inafundisha kuwa kuna kukosa na hivyo kuna kuvumilia. Angalia hata Taifa likiongozwa na Muislamu huwa kuna...
  10. Mnondwe

    JamiiForums Tanzania Well done Rais Samia

    Mama Samia namkubali sana,Jiwe ametupitisha kwenye maisha ambayo hatujawahi kuhisi kama tutayaonja,alikuwa Mtu KATILI sana,hakuwahi kujali thamani ya binadamu yeyoye,aliongozwa na roho chafu mpaka watu wengi watumishi wakalazimika nao kuwa na roho mbaya sana kufuata chanel yake. Mtu aliyeona...
  11. Mnondwe

    JamiiForums Tanzania Kamati: Kinyesi na Mikojo ya Mifugo ndiyo chanzo cha kufa samaki mto Mara, sio sumu ya maji ya Migodini

    Wewe mbwa mwitu unae bisha tu kwa siku kama unakunywa maji inavyotakiwa,unatakiwa ukojoe liya 2 kwenda 3 na kimba lako kama unashiba siyo chini ya kilo moja,angalia mwili wa ng'ombe na anavyokunywa maji
  12. Mnondwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nachukia wanaume wanaopenda kuja kuja jikoni

    Utakuwa hujui kupika au Mlozi unaweka malimbwata,huenda mwanaume anataka kukuchapa,au umezoea kwenye godoro
  13. Mnondwe

    JamiiForums Tanzania Vyoo vya Uwanja wa Ndege JNIA ni vichafu na havijafanyiwa ukarabati kwa muda mrefu

    Hii nchi inatoa tenda na ajira jwa misingi ya kindugu sana mpaka kusimamiana inakuwa tatizo. Airport ni nchi,mtu anaanza kutuelewa anapoingia tu uwanja wa ndege,ukienda kwa wenzetu unaingia chooni unatamani usitoke,usafi,Tv,baridi na kila kinachohitajika. Hawa maboss wa hapo sijui kwao watakuwa...
  14. Mnondwe

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Jenerali Muhoozi Kainerugaba atembelea Shamba la Rais Paul Kagame na kupewa Zawadi ya Ng'ombe aina ya Inyambo

    Alikuwa mwizi mkuu,kumbukumbu ya kulazimisha na imepita bila wengine kujua,alikuwa shetani aliyenda kuona watu wakiteseka.
  15. Mnondwe

    JamiiForums Tanzania Polepole usingekubali kuachia ubunge, Rais hana mamlaka ya kukung'oa

    Maana yake umeshaambiea huna lako hapo,unatakiwa utoke,huyo polepole hawezi kushindana na Rais,ni nyenyere tu,pia ametegwa hapo,malawi wanakuja kuomba vibarua huku,akatae akae nje.
Back
Top Bottom