Hebu fikiria kwanza kabla hujaanzisha mjadara hivi wewe kama huna akiri timamu hebu niambie kuna serikali gani anaweza kuanzisha zoezi la kuzuia pikipiki zisifike mjini hata za watumiaji binafsi na kisha kuanzisha ushuru wa wanaotaka kuingia mjini kwa pikipiki anatakiwa kulipa tsh 60,000 kwa...
Tuna kumbuka matokeo ya uchaguzi mkuu miaka kazaa iliyopita ilichakachuliwa kupitia mzee wa samunge sasa namchakachue na hili bunge la katiba tuwawaonyeshe wa tz tulivyo choshwa na hizo flush age zenu za kutuzurumu tumechoka nawabieni sawa.
Asante ndugu naomba hunijuze vizuri juu ya mkoa wa simiyu halimashauri ya meatu maisha kiujumla juu vyumba vya kupanga upatikanaji wa chakula huduma ya afya na huduma nyingine za kijamii .0713301612.
Jamani wa tz naomba mnisaidie kama wazanzibar wameanza vituko vya kuwa taka wabara warudi kwao hapa kuna muungano kweli sasa nasie wa matekwe tuwarudishe kwao hawa wazanzibar wanaofanya biashara za usafiriji.
Kuna siku niliwai kuuliza ktk mtandao furani juu ya kitu dini sikupata jibu mpaka sasa kwani mada hii inafanania sana na hiki kitu dini ebu tufikiri vya kutosha kabla ya ukoloni haya mambo yalikuwepo kweli na kama yalikuwepo ni Kwa kiasi gani kisha tulinganishe na kipindi hiki halafu ndio...
Hanacho kifikiri kagame ni cha kweli kwani nchi kama south Africa ina vitegauchumi sawa na tz kama madini bandari name na mbuga za wanyama.ivi kuna nini tz?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.