Recent content by Mniombee

  1. M

    JamiiForums Tanzania Infinix hot12i inauzwa

    Mnaoweka matangazo ya biashara ya aina hii mnakosea Sana, humu kuna watu wanapita kusoma tu na sio members wa jf..hivyo mnapoacha kuweka mawasiliano wanawapataje? Otherwise Kama biashara yako unalenga kuwapata members wa jf pekee.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Shirika la Taifa la Bima ya maisha (NIC) lipeni fedha za wateja wenu

    Shirika hili linakiuka kwa kiasi kikubwa mikataba na makubaliano walioafikiana na wateja wao hasa ihusuyo malipo ya fedha za bima zilizoiva. Jambo hili si zuri na halikubalikiki hata kidogo maana linatengeneza taswira ya ulaghai kwa wateja wenu ukizingatia hili ni shirika la umma. Mamlaka...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali

    Mkuu offer hii ni kwa mleta mada tu au ni kwa mwanajf yeyote mwenye sifa na uwezo?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Incubator zisizotumia umeme

    Mkuu hao ni kuku wa kienyeji au wa mayai? Kama ni kienyeji nitakufuata pm tuzungumze. Ninauhitaji wa mbegu nzuri ya kienyeji.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Incubator zisizotumia umeme

    Mkuu nielekeze ulipowanunua nami nikapate kujitwalia walau 10 kwa kuanzia.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nyama choma

    Hakika mkuu wewe ni mzalendo! acha wale wazalendo wa lumumba!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wakati mwingine kujinyonga sio dhambi

    Si kweli, Mungu alishaacha wanadamu wajihangaikie kila mtu ajuavyo!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya ufugaji wa nguruwe

    Nyuzi zipo nyingi humu zimejadili kila kitu zitafute, hakuna ambacho hakijajadiliwa humu jf.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wasomi wengi huwa na msongo wa mawazo na Hasira za kila mara?

    Matarajio Vs Uhalisia.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuna familia zina laana ya asili

    Njia ipi unaitumia kumtoa huko, labda ndio hakubaliani nayo, elezea kdg
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu, nahitaji freezer ndogo, napatikana Dodoma

    Mkuu weka picha na bei
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa maswala ya 'ndumba' pitieni hapa

    Usicheke mkuu, hawa watu wamenirudisha nyuma sana. kupata mtaji tena ni mtihani.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu, nahitaji freezer ndogo, napatikana Dodoma

    Nahitaji freezer ndogo iliyo katika hali nzuri (yenye uwezo wa kugandisha) iliotumika ama mpya mradi bei iwe nafuu, nitajie bei na mawasiliano. Nipo Dodoma.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa maswala ya 'ndumba' pitieni hapa

    Mkuu chongoe, kuna option gani ya ziada kama nyayo hazikuonekana? Karibu
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa maswala ya 'ndumba' pitieni hapa

    Mrejesho, mtuhumiwa amekana shtaka mahakamani, kesi inaendelea leo hivyo bado natoa wito kwa wataalam wa mahakama za jadi.
Back
Top Bottom