abdulhamis
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 1,436
- 2,292
Habari wadau,
Kuna swala moja naiona Sana Mtaan kwangu na Hua Lina nishangaza sana kuna majamaa kama wawil ivi wamesoma sana mmoja mwana sheria mwingine kasomea uinjinia.
Ni watu wetu wa karibu pale maskan kwetu ila Hua hawainjoi maisha kama sisi tunavyo yafuraia maisha Mara nying wao Hua wapole pale tunapo Anza kuongelea mchongo ya hela na matumizi yake
Mara nyingi wamekua watu wa kulaum serikal na hupenda kulazimisha kijiwen maneno yao ndio ziwe point.
Hua inafikia Hatua mtu kamzid kila kitu ila anamwita mjinga na kumwambia kua una hela alafu huna akili.
Kitu ambacho Hua kina fanya najiuliza yeye mwenye akili mbona kashinda kutafuta hela?
Na pale mtaani kwetu walio soma wote ndio Maskin na bado Wana ishi makwao ivi wasomi mnafeli wapi?