Mliishi kama wafalme wakati baba zetu wakiwashibisha kwa kodi zetu na jasho letu. Mungu ametuletea Mkombozi na sasa ni zamu yetu. Katika kuijenga nchi iliyojaa vidonda vya uroho na dhuruma mliyotufanyia, tunaona fahari kuendelea na uvumilivu tukitumaini maziwa na asali baadae. tuliishi kwa...
Shida ni kuwa wanandoa wanahitaji sana msaada wa mungu wakati wa kuchagua mwenza sio umakini kama watu wanavyodhani. Mara nyingi wadada wamejaliwa uwezo wa kuficha uhalisia wao hata kwa miaka mitano ndipo anakunjua makucha. bahati mbaya wakati huo ni tayari ndoa na hata watoto. so maisha ni...
Inawezekana mie sijaelewa mtanisamehe. hiyo 60M Unazungumzia kiwanja tayari unacho au. na unaposema kupanga ni 250K, unamaanisha kodi ya miaka ijayo pia itabaki 250K ?.
Kwa kweli inasikitisha sana, huo muda mnaoutumia kupiga majungu ,mngefanya kazi pengine tusingehitaji hata kumuomba mtu. Wekeni chuki za kushindwa pembeni mfanye kazi, hakuna uchaguzi tena hadi ..20 nduguzangu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.