Recent content by mng'oa kucha

  1. mng'oa kucha

    RITA: Huyu mama Kaisi ni nani?

    Katika zoezi la utoaji pasi mpya za kielektroniki ofisi ya uhamiaji wanaelekeza kuambatanisha vitu kadhaa ikiwemo cheti cha kuzaliwa, kuna mtaalamu mmoja ambaye anahakiki vyeti kwa kuviangalia na ukimpa cheti atakwambia "hii siyo sahihi ya mama Kaisi" kwa hiyo atakuamuru uende RITA ukatafute...
  2. mng'oa kucha

    Nimepigwa na Askari na kuumizwa, nipo Hospitali

    piga namba hizo kisha elezea ukweli kilichotokea 0756616777
  3. mng'oa kucha

    Tunataka Ndugai ajiuzulu

    😈
  4. mng'oa kucha

    wizara ya afya tuwekane sawa katika hili

    Ndugu, jamaa au rafiki ameondoka nyumbani kwenda kujitaftia ridhiki mbahati mbaya amepata la kumpata labda ajali, wakatokea wasamaria wema wakampeleka hosipitali, nyumbani haonekani ametafutwa kote mpaka vituo vya polisi kumbe alipopelekwa hosipitali alikuwa ameshapoteza maisha (dead on arrival)...
  5. mng'oa kucha

    Nimeua mtu kwa mikono yangu (self defence)

    Nimetoka kibaruani kufanya kazi ngumu nimepewa ujira ambao sina uhakika kama unaendana na kazi niliyofanya, nimeweka kiasi honcho cha pesa kwenye mfuko wa mbele wa suruali (siyo jeans) wakati bado Nina msongo nisijue kiasi hicho cha nitakipangilia vipi akatokea mtu mmoja akaingiza mkono wake...
  6. mng'oa kucha

    Rais Magufuli ateua Majaji 6 wa Mahakama ya Rufani na Majaji 15 wa Mahakama Kuu. Ateua DC wa Mwanga na Tarime

    Kwa aliyesikiliza katibu kiongozi akitangaza majina ya wateule wapya ni kwamba mh Wilbad Mashauri amechaguliwa kuwa jaji mahakama kuu na mh jaji Rehema wa mahakama kuu ameteuliwa kuwa jaji mahakama ya rufani kama hujasikia jina lako endelea kukandamiza wanyonge tukukusanyie dhambi zako uhangaike...
  7. mng'oa kucha

    Tukielekea mwisho wa mwaka

    wakati tunaelekea mwisho wa mwaka nimeona nifanye jambo kwa familia ya jf nitakuwa Natoa Huduma za kuchimba makaburi na kuandaa maiti kwa ajili ya kuzika Huduma hii ntaifanya bila malipo yoyote ikiwa ni shukran kwa familia na uongozi wote wa jf ...simuombei Wala kumtabiria mtu kifo ila kifo...
  8. mng'oa kucha

    Uzoefu wangu wa kufanya kazi chumba cha kuhifadhia maiti

    Unamaanisha Shenaz wa Arusha ama unaleta utani?
  9. mng'oa kucha

    Uzoefu wangu wa kufanya kazi chumba cha kuhifadhia maiti

    Nadhani ndiyo ..kwani alikuwa anachagua wale waliokata roho ndani ya nusu yaani zile nyuzi joto za binadamu 37 zinakuwa bado hazijashuka sana ...ingawa wakati anamalizia alikuwa anaongea maneno kwa lugha ambayo nakumbuka neno moja tu "makhashte"
  10. mng'oa kucha

    Uzoefu wangu wa kufanya kazi chumba cha kuhifadhia maiti

    Katika zunguka zunguka na kutafuta ridhiki nilijikuta nimefika nchi fulani, tukiwa katika harakati za kutafuta maisha tulikijikuta mikononi mwa wanausalama wakituhusisha na uhamiaji/ ukaazi haramu tulikuwa nane. Binafsi nilijaribu kuwakimbia kwani hawakutufunga pingu ila kumbukumbu zangu...
  11. mng'oa kucha

    Ni hatari kwa afya yako kuweka wallet kwenye mfuko wa nyuma

    halafu ndugu unapenda kunionea huwa naona sana tag zako (joke)
  12. mng'oa kucha

    Ni hatari kwa afya yako kuweka wallet kwenye mfuko wa nyuma

    Haya ni mazoea ambayo tumejiwekea, tunatembea na wallet iliyojaa kadi nyingi na fedha, wallet inakuwa imetuna halafu utakuta mtu anaiweka kwenye mfuko wa nyuma wa suruali huwa ni mbaya zaidi kama utakaa kwa muda mrefu ama kuendesha gari kwa umbali mrefu. Mwili wa binadamu umeumbwa kwa viungo...
  13. mng'oa kucha

    Uchawi ndivyo unavyoanzaga hivi....

    Mshana unanionea sana ndugu yangu...
Back
Top Bottom