Recent content by Mngazija_Jr

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tamko la CHADEMA kuhusu kauli za Rais Magufuli juu ya nyongeza ya mshahara kwa wafanyakazi

    Mmmmhhh mikanganyiko tupu tutafika kweli?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mkuu nawe ufanye kazi kidogo angalia Page #111post # 2204 Page #146 post# 2905 Page#150 post# 2998 Zote zina Vitabu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Hii ni thread ya mwanzo kabisa ya Forex wadau tuchangie angalau commenta kiasi isiwe page za mbali maana vitabu vyote vya maana viko humu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Onyo: Forex trading haina mamlaka ya usimamizi

    Kumbe we jamaa Lugha ya Malkia ndo inakupaga shida sasa nimeelewa kwa nini Forex inakushinda!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

    Usijali mdogo mdogo utafika kila jambo ni kujipanga tu mimi namaliza kujiweka sawa na vitabu nitajoin muda si mrefu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Fursa nzuri ya hela kwa watanzania

    That is SCAM!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu kwenye huu uwekezaji mpya

    Wenzenu washalia hapo tayari
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mahojiano ya Msigwa na Lema KTN: Serikali iongeze msisitizo kwenye somo la Kiingereza

    Msaga Sumu lugha ni kama njia tu ya kufikisha ujumbe kwa hadhira. Haiyumkini Watanzania huwa tunapata shida sana inapofika suala la Lugha, nina mifano mingi tu inayoonyesha wenzetu huko tunakotaka kuwaiga huwa wanatumia sana Lugha zao, mfano Wachina, waarabu, warusi, wajerumani nk, ni ajabu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

    Ulikuwa unafanya Jokes?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

    Greenwich Mean Time, ni Mji huu ambako kinadharia ni sehemu inayopitwa na Mstari wenye nyuzi 0 ambao unatumika katika kuhesabu masaa kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Kwa hiyo kuna Zones ambazo zinatofauti ya Saa moja moja kwa mfano masaa ya Ghana yanafanana kabisa na Uingereza kwa sababu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Watu 120,000 huongezeka Dar kila mwaka

    Mkuu hapana hivi ushafika Mbeya ukajionea Debe la viazi mviringo linauzwa kiasi gani? Nenda Tukuyu angalia ndizi, maparachichi, mahindi, kabichi ni bei gani? Shuka Kyela angalia Mchele ama nenda Ubaruku
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

    Tunaheshimu avator yako tu vinginevyo huna ujasiri wa kutuambia haya
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Scamming issue zinafanikiwa sana Tanzania?

    Daahh huyu mtu hana hata aibu?
Back
Top Bottom