Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 18,200
- 27,255
msigwa " atleast today he got a little bit of tea" ha ha ha ha ha hii ni aibu aisee
aah we jamaa bana, hujaona tatizo?? hapo wanasnza tu msigwa kaulizwa kuhusu lissu anaendeleaje akajibu " atleast today he got a little bit of tea" yaan hapo hujaona tatzo?? kweli???Wakenya walioangalia hiyo interview hawaongelei lugha tatizo nyie watanzania na uchama wenu ndio mnaona lugha zaidi na si kingine. poleni
Tatizo kubwa ni kuwa Mh. Msigwa na Mh. Lema ni weupe kichwani, I am very sorry to say that, Sasa changanya na Lugha, oh my God! Unawaona wachina hawajui kiingereza lakini akisema point yake hata kwa kuvunja lugha lakini ikawa ina maantink- Yaani Logic, it is far better. Kuliko vyote mweupe, Amini nikuambiacho!
Haha haha haha haha haha umenichekesha sana. Ni kweli kabisa mkuu ukiona mtu kila akiongea Kiswahili anatoa neno moja bombastic la English, jua kabisa huyo lugha aipo ukimbana ukaongea nae moja kwa moja kwa English apo ni chaliiBungeni anachapia maneno machache ili aonekane anajua English sasa Kenya kaanikwa. Ni wale wale, Bata!
Mahojiano ya Lema na Msigwa ndani ya KTN, nadhani Lema na Msigwa walikuwa wana mambo mengi ya kuiambia dunia lakini ukosefu wa maneno kadhaa ya kiiengereza kumewaficha sana.
Mfano neno dictator uchwara ukiliongea kwa kiingereza linapoteza uzito.
Lema kaongea 'actually' mara 83 kwnye interview ya dk 24.
Tunapotaka kuongelea kiingereza cha Rais inabidi tuangalie kwanza wapi tumekanyaga.
Na Mwita waitara na Heche wachape lugha uone lugha itakayozungymzwa apo ni utumbo mtupu
Museveni yuko vizuri sana kwenye hii lugha ya Malkia. Mtu aliyekuwa anaivunja si mwingine bali ni Iddi Amin Dadaa!Mkuu mtake radhi mwenyekiti museveni, anabonga kiinglish cha malkia lakini kwa lafudhi ya kiganda, sisi wabongo tuliokwenda shule 99 asilimia hatuwezi kuongea hata kwa dakika 1 tu mfululizo. Tuko vizuri kwenye swanglish Yaani unaongea kiswahili maneno ma 5 unakumbuka moja la kukariri darasani.
Tofauti ni kubwa sana. Nadhani Msigwa angekuwa na busara angetafuta mkalimaniWow...I overlooked that.
Msigwa kweli ndiye shadow foreign minister eeh?
Kama watu wenyewe wa kushika dola ndo hawa basi CHADEMA bado sana kuweza kushika dola.
Lakini kwa wakati huo huo, Msigwa ana tofauti gani kubwa na Magufuli katika uelewa wa mambo?
Mahojiano ya Lema na Msigwa ndani ya KTN, nadhani Lema na Msigwa walikuwa wana mambo mengi ya kuiambia dunia lakini ukosefu wa maneno kadhaa ya kiiengereza kumewaficha sana.
Mfano neno dictator uchwara ukiliongea kwa kiingereza linapoteza uzito.
Lema kaongea 'actually' mara 83 kwnye interview ya dk 24.
Tunapotaka kuongelea kiingereza cha Rais inabidi tuangalie kwanza wapi tumekanyaga.
Mbona unaanza kumtusi raiss wakoNa Mwita waitara na Heche wachape lugha uone lugha itakayozungymzwa apo ni utumbo mtupu
Watanzania waliokuwa wanaongea lugha nzuri wengi wapo kwenye Umri wa miaka ya 65 na kuendelea waliosoma kwa mkoloni lakini wengi waliofata ni upuuzi na upupu katika lugha ya English. Madokta na Maprofesa wengi tuuu lugha ya English ni tatizo, sio swala la kushangaa kwa sababu hatutumii lugha ya English katika maofisini au mashuleni. Hata walimu waliopo masekondari na primary hawajui lugha ya English
Akikosea mungu wenu huwa mnasema hakuna tatizo maana yy ni mtanzaniaaah we jamaa bana, hujaona tatizo?? hapo wanasnza tu msigwa kaulizwa kuhusu lissu anaendeleaje akajibu " atleast today he got a little bit of tea" yaan hapo hujaona tatzo?? kweli???