Recent content by mndemeimran

  1. mndemeimran

    Msibani: Mazishi ya ndugu zetu Waislam

    Dini ni tamaduni, dini ni mfumo wa maisha. Uislamu umenyoosha sana mambo yake mengi ili kuendana na hali iliyopita, ya sasa na ya baadae ya dunia hii. Uislamu ni mfumo kamili wa maisha ya mwanadamu!!
  2. mndemeimran

    TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

    Hahahaha Sent using Jamii Forums mobile app
  3. mndemeimran

    Maua Sama atachanganyikiwa sana kwa jambo hili

    Mkuu labda kama unachuki binafi... Maua sama ni LEGEND katika mziki wa bongo, maua hjaanza leo katika IOKOTE, maua ana saut ya kuimba.. Ukiwapanga Solotist Tanzania hutaacha kumuorodhesha maua sama... Nenda youtube kasikilize Akiimba bila ala yyte ya mziki kisha rudi tena tuambie
  4. mndemeimran

    MV Nyerere yazama

    Mkiwa mnazungumzia Overloading msisahau kabisa daladala nda ya miji yenu hasa dar
  5. mndemeimran

    KATABIA KABAYA KANACHONICHUKIZA MBELE YA JAMII.

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]akizid kuwa moto ww kuwa kuni2
  6. mndemeimran

    KATABIA KABAYA KANACHONICHUKIZA MBELE YA JAMII.

    hahaha ilipe2 mkuu[emoji23][emoji23]
  7. mndemeimran

    KATABIA KABAYA KANACHONICHUKIZA MBELE YA JAMII.

    MndemeImran✍🏿 Awali ya yote naomba kutoa pole zangu kwa Ndgu, jamaa, marafik na wafiwa wote wa Ajali ya Mv. Nyerere.. Taifa kwa ujumla tunaombeleza kwa uchungu msiba huu mzito uliotukuta watanzania... Inalillah wainarllah rajuun( Hakika sote ni wa mwenyez mungu na kwake tutarejea) Allah...
  8. mndemeimran

    MV Nyerere yazama

    KIVUKO CHA MV NYERERE CHAZAMA Kivuko cha MV Nyerere kinachofanya safari zake kati ya Bugorara na kisiwa cha Ukala katika ziwa Victoria kimezama muda huu, huku taarifa za idadi ya watu waliokuwemo ndani ya kivuko hicho hazijajulikana. KUZAMA KWA KIVUKO Shughuli za uokoaji abiria waliozama...
  9. mndemeimran

    Hivi ni mimi mwenyewe au na nyie wanaume wenzangu inawatokea?

    Ndio mahaba hayo kaka unataka aje kuvaa zangu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  10. mndemeimran

    Watu wametoka Mbali "Zitto Kabwe na Rais Magufuli"

    Namwona Mtenvu kwa nyuma kama sikosei
Back
Top Bottom