Recent content by mndeewake

  1. M

    JamiiForums Tanzania January Makamba awasimamisha kazi maafisa wa NEMC

    Hii imekua kama fashion kwa mawaziri wa serikali ya awamu ya tano. Ili waziri asikike na aonekane anafanya kazi anatimua mtu. Na procedure hazifatwi utawala wa sheria hamna kbs.
  2. M

    JamiiForums Tanzania January Makamba awasimamisha kazi maafisa wa NEMC

    Ongea kwa evidence basi.
  3. M

    JamiiForums Tanzania January Makamba awasimamisha kazi maafisa wa NEMC

    Eti kiwanda cha kusindika nyama za punda leo kimekua na manufaa tz... ni aibu. Hata mimi nimeumia sana.
  4. M

    JamiiForums Tanzania January Makamba awasimamisha kazi maafisa wa NEMC

    Nina uhakika kabisa hata muheshimiwa Rais alikua anaona utendaji wa bwana Heche, wengi tulijua kwa utendaji ule lazima Magufuli angempa kitengo muhimu ili watende kazi sambasamba na wasiwasi sana na muheshimiwa waziri katika hili?muheshimwa rais tumeanza kupata hofu na utendaji wa mawaziri wako...
  5. M

    JamiiForums Tanzania January Makamba awasimamisha kazi maafisa wa NEMC

    Kweli kabisa, mimi hapa nahisi kabisa kuna mkono wa mwenye pesa sio bure... watakua wameona suluhu na pona yao ni kumtoa wakaona wamtafutie zengwe.
  6. M

    JamiiForums Tanzania January Makamba awasimamisha kazi maafisa wa NEMC

    Kwani alikua anafanya kazi under his own instructions?sijui ni kwa nn watu wanashindwa kujua hii ni kazi ya serikali na hii ni kazi binafsi. Heche yeye ameajiriwa na alikua anapewa order kutoka kwa wakubwa zake... mbona mambo marahisi sana kuyaelewa haya?sasa ulitaka aache kazi ili ujue...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria wa NEMC afukuzwa kwa kunusuru ghorofa la kigogo lisibomolewe

    Sio yeye mkuu... aliefukuzwa anaitwa John Mnyele na kesi ipo takukuru tayari.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kutembea South Korea

    Nimewahi kwenda huko Korea ni pazuri sana shida kubwa unayotakiwa kufanya maombi ni ndege isije kuzama baharini jumla jumla,,,,
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete awasili Riyadh kuhani kifo cha mfalme wa Saudi Arabia

    Jamaa mmoja alisema asipoenda Saudia atajinyonga naona amepona kujinyonga duh kweli hii nchi inatisha ,,,,
  10. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe anaishi sehemu gani Dar es salaam?

    Tandale kwa mfuga mbwa,karibu na mzimu wa Mpitimbi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Capt. John Komba iliyopo Dar es Salaam yapigwa Mnada

    Aingie Msituni
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bado miezi michache wafunge ndoa, mwanaume ana mwanamke mwingine tena ana ujauzito wa miezi 4

    Ndo shida yetu wanawake, ataogopa aibu ya sasa lakini ataishi maisha ya majuto na kilio,hata watu anaotaka kuwaficha hiyo aibu sasa hawatakuepo baada ya ndoa,atakua mwenyewe, dalili ya mvua ni mawingu. Na thubutu yake ajifanye anamuuliza chochote endapo atakua anafanya ujinga incase wakifunga...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Maswali magumu kuhusu mapacha hawa TRA Arusha

    Aiseee nipo na wewe swali ulilojiuliza kipengele cha mwisho tuu ila hivo vipengele vingine vimenipa maswali pia kuhusu wewe kufikiria kwako... Hv Tanzania ya leo ilivojaa watu wengi na kila mtu anapenda kusoma kweli bado unafikiri the so called vichwa wanatoka udsm na hvyo vyuo vingine umetaja...
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je waweza kuyafanya haya kwa ajili ya mapenzi/mpenzi?

    Naona kama umebase zaidi kw wayapendayo wanaume zaidi lakini kuna mambo mengine ambayo wanawake wapo kwa wingi wao mfano mwanaume hataki mkewe atoke nyumbani hata kwenda kazini ni shida kwa sababu anazozijua yeye anampa optiona mkewe achague kazi au ndoa?wapo wanawake wengi wameacha kazi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nimeamini! Huyu Mwanadada Amebarikiwa....!

    Bahati anaimba sio utani km hii albam ya dunia haina huruma ukichek na video yake yani movie sio movie yani huwezi choka angalia na kilichopo mi nadhani ni kwa sababu anaimba mambo halisi habahatishi. Mungu azidi kumbariki
Back
Top Bottom