Recent content by mnavira

  1. mnavira

    Pesa anazogawa Rais Magufuli kama njugu anazipata wapi? Nani kaziidhinisha?

    (VIOJA SIYO VIHOJA) KUNA KAZI KWELI TAIFA LETU CHANGA. TUNAPENDA NYEUSI IITWE BLUU. HATARI
  2. mnavira

    Fikra tu

    TUNGA SENTENSI KWA KUTUMIA MANENO YAFUATAYO: 1. SHIMO 2. TUNDU. 3. PANGO. 4.TOBO
  3. mnavira

    Kitambi ni ugonjwa wa akili

    Ukitulia vizuri kiakili una uwezo wa kutoa hoja muhimu. Tatizo mpangilio wa mawazo upo chini.
  4. mnavira

    Mkanganyiko wa Fikra

    Naomba MSAADA wa mawazo wadau wangu. Hivi wanyama mfano Ng'ombe, nyati, Chui au Tembo huwa wanaugua magonjwa ya Zinaa/ya ngono mfano kaswende, kisonono na pangusa? Kama ndiyo wanaponaje? Ikiwa wanaumwa magonjwa hayo utawatambuaje? Kama hawaumwi kwa nini magonjwa haya yaathiri wanadamu zaidi?
  5. mnavira

    WAZO: Kama Boyfriend/Girlfriend anafanya Kazi miongoni mwa hizi, He/She Might Be Cheating On You"

    AFADHALI WANGU SI MUONGO! WANGU ANAFANYA KAZI CHUMBA CHA KUHIFADHIA MAITI!!!!
  6. mnavira

    Wanawake kuolewa na wanaume wadogo hivi imekuwa fasheni!

    USISHANGAE MKUU, GARI BOVU HUSUKUMWA NA GARI ZIMA (jipya). Kuku kijana no kazuri kukala! KANANYUMBILIKA!
  7. mnavira

    Man kills his girlfriend because she refused to marry him after sponsoring her University studies

    Pole yake. Kwani hakuwa na ndugu na jamaa wa kuwasomesha? Lomolomo alisema "Cheka nae kula nae lakini nimezaa nae!"
  8. mnavira

    Kananyonya kama baba yake

    Looo, Halima mchokozi! Baba alikuwa ananyonya eneo gapi HALIMA?
  9. mnavira

    Nahitaji notes za somo la kiswahili kdato cha kwanza hadi nne

    1. Uchambuzi Tafuta Google andika kitabu ukitakacho utapata uchambuzi. 2. Baadhi za vitabu vya Kidato cha 1-4 vilionekana havina ubora na serkali ilitaka nchi kutumia kitabu kimoja. Ushauri PATA Vitabu kadhaa chambua I'll upate zenye ubora. Ukikwama zaidi wasiliana nami utapta kuanzia kidato...
  10. mnavira

    TUJADILI: Zipi sifa za mtu kuwa great thinker wa JamiiForums?

    Jamani, Nini maana ya Great Thinker kwa Kiswahili? Wengine wa Memkwa
  11. mnavira

    Ukiwashwa mkono utapata pesa, ukiwashwa mguu utapata safari. Ukiwashwa kitovu je?

    Pole sana, afadhali yako. Juzi binamu aliwashwa KALIO LAKE ilikuwa kazi. Sikujuwa MSAADA wa kumpatia!
  12. mnavira

    Haya maneno yaliwaponza wadada wengi sana miaka yetu.Walikuja kushtuka wakiwa wamechelewa

    USISHANGAE MKUU, Dunia ya Leo inabeba dhana ya UBIDHAISHAJI YAANI KILA KITU NI BIDHAA. PENZI, DINI, SALAMU, MSAMBWANDA, HATA HUDUMA YA CHOOO zote ni bidhaa!
  13. mnavira

    Hoja Tatizi

    Kufuatia zoezi na maombi ya kuchangia fedha kwa ajili ya TAULO ZA KIKE Maarufu Pedi kwa ajili ya wanafunzi iwe shule ya msingi au sekondari nahoji: 1. Wakati umefika kwa kina baba nao kushiriki kutoa elimu kwa watoto wao wa kike namna ya matumizi? 2. Wakati sasa familia kupanga bajeti za...
  14. mnavira

    I am Looking for Friends Who speak English

    Kuna wimbo uliitwa KIINGEREZA. ....KAMA NI WAINGEREZA HAO SUBIRI NILEWE NITASEMA KIINGEREZA!
  15. mnavira

    Siku ya wanawake Duniani?

    Kufuatia sherehe ya Wanawake Leo 8.3. Nilijaribu kuhoji baadhi ya wanawake mambo yafuatayo: Kama wanatambua kuna sikukuu leo? Kauli Mbiu ya mwaka huu? Wanajivunia mafanikio gani katika Siku hii? Wanasherehekea kwa lipi? Sababu ya sherehe? Nani anatakiwa kuwakomboa! NASIKITIKA WENGI...
Back
Top Bottom