Kijana wa maji wewe naona umemaliza sup yako ya mbogos AF nadhan n first year sup c kilema komaa sapua songa mbele anaekubishia haujui mziki wa drawing
Habari wakuu,!!kuna mdgo ake rafiki ang mmoj alikua kdato cha tatu msichana ni mcha mungu na alipenda sana shule.Kuna jamaa MTU mzima tu alkua anamtaka kimapenz kakamkatalia kabisa basi jamaa akaamua mvizia dogo na vjana akambaka ,dgo akapata mimba siku hyo.tulireport police jamaa akakamatwa...
Usipanik kijana wangu angalia course ya dip unayoipenda kama ya afya au Eng;Then apply mfano kama utatak kua Eng; kuna DIT,WI, na vngne vingi hvo chaguo lako tu mkuu
Kijana mwenzangu pole na hongera pia kwan haujafel Mimi ni mwenzako nilmalza mwaka Jana nkapata hzohzo na nilsoma CBG nlishauliwa sana na nilfikia kukata tamaa lakin sasa hiv najiandaa kuinga mwaka wa pili nasoma dip lakin naamin ndoto zangu ztatimia kitumie chet chako cha form four kitaktoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.