Recent content by mnang'umba

  1. mnang'umba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Jiji bila Bahari, sawa na kutembea peku
  2. mnang'umba

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu, wala hakuna uzuri kwenye jambo hili

    Jamaa ni muonyaji tu, hakuzuwii kuendelea na dhambi zako
  3. mnang'umba

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu, wala hakuna uzuri kwenye jambo hili

    Watu wa Luti walikuwa wanaongea kama hivyo
  4. mnang'umba

    JamiiForums Tanzania Maelfu ya Waisrael waandamana kushinikiza Netanyahu ajiuzulu

    Wamemeza mate ya akili
  5. mnang'umba

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Waislamu mmeshindwa vipi kuwa na hospitali kubwa Kama KCMC na Bugando?

    Kwahiyo Wakristo mnatibiwa Bure ktk hizo hospital?
  6. mnang'umba

    JamiiForums Tanzania Polisi wa Zanzibar kuwakamata watu kisa kuwakuta wakila mchana kipindi cha Ramadhan ni uvunjifu wa sheria za Nchi

    Tanganyika hatuna katiba hatuna Bendera, Hatuna Rais. Wenzetu Zanzibar Wana Katiba,Wana Bendera, Wana Rais, Wana Wimbo wa Taifa. Hii Sababu ya Ujinga wetu
  7. mnang'umba

    JamiiForums Tanzania Polisi wa Zanzibar kuwakamata watu kisa kuwakuta wakila mchana kipindi cha Ramadhan ni uvunjifu wa sheria za Nchi

    Unajuwa kabisa unapotosha Watu. Sheria inakataza kula hadharani kipindi Cha mfungo. Hulazimishwi kufunga Sababu Kuna Imani tofauti na Uislam pia Kuna wenye Udhuru Mbalimbali wanakuwa hawajafunga.
  8. mnang'umba

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya Wahanga na kuzaa gharika

    Ndo maana Makanisa yanatetea Ushuga, eti Haki za Binadamu
  9. mnang'umba

    JamiiForums Tanzania TEC, CCT, CPCT Kemeeni yanayoendelea Zanzibar ili kuwalinda Wakristo waishio Zanzibar

    Hili hoja imebebwa na Wakristo. Je alieadhibiwa alikuwa Mkristo? Zanzibar Wana Katiba yao na wanataratibu zao za kuishi. Sheria inasema wazi hairusiwi kula hadharani wakati wa mfungo wa Ramadhani.
  10. mnang'umba

    JamiiForums Tanzania Narudi kijijini kulima, maisha ya kwenye jiji la Dar nimeshindwa, nimekubalii🙌🏽

    Hata Mimi nimeondoka Dar, nalima Sasa hivi tunavuna Tumbaku. Niliona Dar hakuna mpango wa kunipatia 10m ya pamoja ili nifanye biashara
  11. mnang'umba

    JamiiForums Tanzania Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Binafsi sikumpenda,alivuruga ustaarabu wa Mtz. Alikuwa mnafiki, alikuwa Dikteta, aliuwa sana Watu, alisingizia Watu Kesi za Uhujumu Uchumi, alivuruga soko la Mazao. Bora Mungu alivyomchukua nchi ingekuwa Masikini
  12. mnang'umba

    JamiiForums Tanzania Tumbaku Ina Pesa

    Naishi Dar nilienda kutembea mkoani Tabora. Nikavutiwa na Kilimo Cha Tumbaku. Nimelima heka 6 ambapo natarajia kupata kilo 600 kwa Kila heka Moja. Nitauza kg 1 $ 4.00, 3.5 nk Matumizi Heka 1 mbolea mifuko 5 @ shs 80,000 Kuni shs trip Moja shs 300,00 Kulima 50,000 Palizi 30,000
  13. mnang'umba

    JamiiForums Tanzania Kushika sana dini kunaweza kukupeleka kubaya. Rafiki yangu aliacha kazi ya Ualimu baada ya Mkuu wa Shule kumtaka anyoe ndevu

    Nashukuru sijapoteza Muda mwingi Shule, niligundua napoteza Muda
  14. mnang'umba

    JamiiForums Tanzania Can Islam coexist with non Muslims? Ni kawaida waislam kuwa huru nchi yenye wakristo 99%, kwanini wao wakiwa wengi huminya imani nyingine?

    Ukristo ni kikundi kwa ajili ya kumpinga Mwenyenzi Mungu. Lakini Ukristo Ulipokelewa na Waislam hapa Tanzania. Una halalisha Ushoga, Mavazi yasio ya Heshima, Ushirikina, Wizi mpaka Mashirka ya Umma wameyaua, Wizi Serikalini, Ubaguzi ktk Ajira, Umalaya, tabia za Uongo, Viongozi kukosa Uadilifu...
  15. mnang'umba

    JamiiForums Tanzania Chimbuko na Upotofu wa kanisa la Waadventista Wasabato

    Huyo Paulo ndo mpotoshaji Mkubwa namna alivyoingia Kwa Kuua Wanafunzi wa Yesu Wote. Halafu akasema nimekutana Yesu kanipa Utume, yaani Uue wanafunzi wake halafu akupe Utume?
Back
Top Bottom