RESILIENT KATO habari vipi mkuu. Kuna kitu sikielewi juu ya member mwenzetu bwana Britanicca mbona anaonekana lakini hakomenti wala kuanzisha uzi na sikawaida yake kulikoni
Ni ukweli ulio wazi kuwa pamoja na kwamba vioo vinaonyesha taswira halisi kuna wakati pia hata macho yetu hatupaswi kuyawmini sana maana macho hayo hayo yaliyokuona kwenyekioo A yakatoa taswira na tafsiri ya ulivyo ndo hayo hayo yakitumika ukaangalia sura ileile katka kioo B yanaweza yakaonyesha...
Mimi nakuona huandiki tu ila una kitu fulani cha pekee sana katika uandishi wako. Ni uandishi wenye kufikirisha sana na akili kubwa ya reasoning ndo inaweza kuyaona unayoyaandika.
Ahsante sana kwa maelezo mazuri na yenye kujitosheleza. Kimsingi ni kama Kuna ukweli fulani japo najiuliza na nataka nikutafakarishe pia huoni kama DN ni mweupesna kuichukua urais na kuliweza jukumu kubwa na zito lililopo mbele yetu kama taifa ukizingatia mifumo karibia yote kwasasa ni kama...
Mkuu mbona kama huu mkeka ulishachanika kitambo ulikuwa unamhusu Philipo Isdory Mpango?
TA mwenyewe ni kama alishadhibitiwa maana tangu kipindi autoe Uzi hajawahi kuonekana tena, alipokuwa anasema Brother usiondoke alimaanisha Mpango asijiuzuru maana hizo habari ndizo zilikuwepo kwa wingi. Sasa...
Kwani shida kubwa ilikuwa nini mpaka ashindwe hata kujitokeza kukabidhi ofisi ya umma. Kuna hatari kubwa sana ipo siku atatokea Rais wa nchi akaondoka madarakani na kuondoka na baadhi ya mafile muhimu. Tumeifanya Tanzania taifa la wajinga sana.
Kwa Tanzania hii usitegemee hilo kwa siku za karibuni. Ccm mpaka waamue wao tu kuiachia nchi.
Kama anaweza kupotezwa makamu wa rais na huoni yeyote akikemea ujue hii nchi na watu wake tuko hoi taabani. Tuwashukuru tu mbogamboga kwakuwa hawajaamua kuanza kutuingilia kinyume na maumbile maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.