Mwnye kuhitaji h pyroli kit anitafute ninazo box tano,mzee ana vidonda vya tumbo ila hatumii hizi dawa,huwa anachukua mambo ya bima ila hazitumii.0738832800
Heshima yako mkuu,mimi ni miongoni mwa baba niliyepata changamoto ya kuvunjika ndoa yangu kwa makosa ya aliyekuwa mke wangu,kesi ilifika ustawi wa jamii stakishari ikaonekana alikuwa na makosa ya kuchepuka had kupachikwa ujauzito ambao alilazimisha kuwa ni wangu,baada ya kuona upepo umemwendea...
Yaani wanawake wanataka wakojozwe sio,nimtongoze,nimhonge,nilipie lodge baada ya tendo nimlipe tena halafu anataka nimkojoze,nikishakojoa mm na kwa sbb mm ndie niliyelipia huduma nikiridhika imetosha,kama mnataka kukojozwa mlipie huduma na kila mtu ashinde mechi zake.
Kweli kabisa ndg mm ni mhanga wa mambo hayo,nilioa mwanamke msambaa mwnyeji wa lushoto ,ni Wale wavaa majuba huyo mama ni mchawi mno,kama ni mizigo nilibeba ya kutosha,nimemwacha kwa mbinde kweli baada ya kuishi nae miaka 12,
Ndg yangu ni kama unanisemea mm,nilioa mpare ni wale wa majuba hakuna sala na funga zinazompita ila sasa,ni mshirikina sijapata ona,nimeponea chupu chupu kuuliwa ili abaki kwny mji,kesi yetu ilifika hadi kwa kadhi dsm kwa njinsi alivyo kadhi alihisi namsingizia,nilivyoweka ushahidi mezani kadhi...
Hongera sana mheshimiwa,na nashukuru sana kwa nasaha zako ulizonipa kipindi niko ktk mgogoro na mke wangu,ila nakuomba ufuatilie kwny mahakama zinazohusiana na migogoro ya kifamilia wanaume tunaonewa sana,unakuta watumishi wote wa mahakama hizo ni wanawake wanabebana sana sana,wanatuvunja moyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.